Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Mwanzoni mwa mwaka 2017 kwenda 2018 -2019 vijana wengi waliomaliza vyuo vikuu walikuwa wanajikita sana kwenye maeneo hayo.
Upepo huo ulikuwa mkali sana pengne haukuwa na uhalisia ama ulikuwa na uhalisia sijui..
Mfano kijana anamaliza chuo hana mtaji wa kifedha ila ana elimu wengi walijikita katika kufungua NGOs, kufanya project za kitechnolojia(hapa utaskia program ya kuwasha taa bila kugusa switch ukutani).
Au taasisi ya kusaidia watoto wa mitaani(NGO)..
Ama kilimo cha kware etc etc....greenhouse mijini etc.
Gafla upepo huu umekatika..
je tatzo liko wapi?
1. Project hazina uhalisia na mazingira halisi (Kwamba ok tunatengeneza app ya nni sijui..muda huo unakula nin..unalipa kod na nin)...?tho uthubutu ni mzuri ila unakula nini muda huo..
2.kilimo cha kware ama utaskia kilimo robo heka kwenye green house unatapa kama anayelima heka 5..well..probably yes..
3.ilifikia kipindi motivational speakers walikuwa wengi kuliko wanaomotivetiwa
4.akina foreva ,D9..n the likes..unaambiwa ingia na 300k..ita wenzio kadhaa utaanza pata mshahara kias kadhaa na kuwa milionea kwa mda mfup...hawa wameishia wap au ndo wamepiga hela..
Well...perhaps ni uchumi umevurugika..ama hiz projects zilikua hazina uhalisia?..kwamba zingekufa tu mbelen?..ama..tuna tatzo la elimu ama ni nin ama ni korona..sijui
Now kilichitokea sasa kiuhalisia ni ongezeko la machinga..wachuuzi...mitandaoni na mitaan tho huku wanafukuzwa..
Weng wakiwa kwenye mambo yenye uhalisia..yaan kama atauza nguo apate hela..au atafanya ujenz au achomelee au awe fund gar au awe bodaboda etc au atalima mahindi...
Mitandaon naona sana biashara na huduma zenye uhalisia...je vijana wameacha bla bla(maneno maneno meng na ublazameni) na kuamua kufanya kaz?
Well..labda nisiwe na mantik au uandish mbaya..cha muhimu nimegusia jambo fulan
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app