Vijana msidanganywe, ukiwa na pesa utapata mwanamke umtakaye

Mbona wanaume nao wanapenda wanawake wenye pesa, Cha kwanza unafanya kazi gani, au biashara gani?
 
Mimi pesa ninayo( angalau kidogo) lakin sijawahi pata mpenzi wala kuexprience love Tangu nimezaliwa.

It's very sad indeed.
May be siko lucky nawasichana

Wewe ni Beta Male, that nice guy, Mr Nice... upendo utausikia tu na pesa zako.
 
Nashukuru Mke Wangu nilimuoa hukunsina mbele wala nyuma yaani tofauti yangu na kitumbua ni mafuta tu bandugu.
Kiukweli hata MIE Mke Wa kumuoa sikuwa namuonyeshea mambo mazuri yaani ni kumfanyia mauzauza ili nione anastahimili vipi.
Mke ni mama yako Wa ukubwani wengine ambacho hawaelewi. Una uhakika mkeo ukifulia ama ukalazwa kitandani huko hospital miaka mitano je bado atakuwa na wewe akikuuguza.
Ukipata ukilema ataendelea bado kuwa na wewe. Assume unaumwa unajisaidia kwa beseni akutawaze akamwage chooni mwaka mzima je ataweza kweli.
Kiukweli nafurahi nimepata mama yangu Wa uzeeni hajaja kwangu kisa Nina kitu Fulani.

Kuna binti mmoja nilimdanganya kuwa nimedisco chuo akanitema nikajua huyu sio Wangu.
Nina imani people rise from zero if not negative to hero or something big.
Pia wapo wanaoa kazi,elimu ,familia tajiri ama kigogo Fulani kulinda status na kuipata connection.
Ila maisha haya hakuna mwalimu wala hakuna kanuni aka principle inayotuongoza kikubwa wewe jifanye haujui.
Ni mtizamo mwingine
 
Sikubaliane na ww mkuu. Huyo huyo mwanamke bora anayemkubali mtu asiye na uwezo, atakubali pia mwenye uwezo. Sema tu UKIWA HAUNA HELA, hauna options nyingi za kuchagua mchumba au mke. Options zikiwa chache, inakuwa ni rahisi zaidi.

Pia mtu mwenye $$$$ anakuwa ameshalala na warembo haswaa na ndio aliowazoea. Na anataka kuoa mrembo haswaa. Na hao wengi wao ni machachari. Hapo ni kutafuta tu mdogo mdogo HALAFU UNAMNYOOSHA WW. Samaki mkunje angali mbichi. Ali mradi awe legal age. Pia unaweza kuoa mtu mwenye hela zake pia.

Ukiwa na hela, options zinakuwa nyingi sana kuhusiana na mchumba. Sasa kazi ni kwako kucheza game hiyo vizuri.

Vijana pambaneni kutafuta kujijenga kiuchumi. MSIKIMBILIE KUOA
 
Kweli kabisa mkuu
 
Tatizo mnafanya mambo yawe magumu wakati umri wa kuishi wenyewe ni mdogo, tunawadiscuss sana wanawake hii inawapa vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…