Vijana msidanganyike!! CHADEMA haiwezi kuongoza nchi

kwahiyo CCM ndo inaweza? nyie vibaraka kuna siku mtakuja kuelewa kuwa mnayoyazani ni sawa na uhalisho wa bata....
 
ma
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
mawazo ya nyumbu.
 
Ongeza nyama nyama naona huu uzi umepwaya sana hauna mbele wala nyumba
 
Sifa za chadema
Wanafki
Waongo
Wachochezi
Yaani Sifa zote mpk kutetea wauza ngada

Ila ilivyokuwa chini ya slaa wilbroad ilikuwa nzuri Sana
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Thobhanoko,
 
Mleta mada kumbuka kuwa: CCM nao wameshindwa kuongoza na kuivusha nchi yetu..
 
ninyi mnataka mwachiwe mwongoze mpaka lini? Wakati kuongoza kwenyewe kunawashinda!

Donald trump aliwai kusema chama kama kimeshindwa kuwaletea watu nafuu ya maisha na matokeo yake kimeharibu chama hicho kinabidi kiombe radhi na kuachia wengine waongoze nchi.
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!

Siku nyingine usirudie kuandika upuuzi kama huu
Shughulisha kichwa yako kabla hujaandika!!!
Nyumbu wa Lumumba!! Mwafaaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom