Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,114
Mbona mnaanza kujihami mkuu? Au umetishika na tangazo la Mbowe alivyokuwa Muheza juzi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Kaka big up umewapasha malofasalaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Kimsingi sasa hivi Chadema ndo wanaongoza nchi maana pasipo sisi huyu Sizonje atatuingiza kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe!salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Hili la kwanza ni ungo lakini la pili ni kweli kwamba rais anamjua makonda kutuzidi!salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Kwanza karibu JF ... pili umeandika post kwa wenge sana.. embu kaa tulia.. uoate chakula cha jion ndio uandike kitu cha maana.salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Ha ha h ah aahaBora warudishe viroba kuliko hizi banana
Haha, usishangae mkuu ndo akili za kibashite hizo...kimtu badala kikamilishe assignment kikusanye kinajikuta kiko JF eti kuanzisha 'thread'(kina Bashite wao wanaita siredi)Hii nayo ni thread
Lowasa alishawaambia kama wakishindwa kuitoa ccm 2015 wasubiri miaka 50 mbele. Ni ukweli lakini mchungu inabidi wauvumilie tu.salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Akili ya Ki-Bashite hiisalaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Hawajui kama hili jambo litakuja kuwarudia kipindi cha uchaguzi.UPINZANI WA KUTETEA MAOVUHaya machadema jinsi yanavyotetea mafisadi na wauza madawa ya kulevya ndio yanaharibu kabisa