Vijana msidanganyike!! CHADEMA haiwezi kuongoza nchi

Vijana msidanganyike!! CHADEMA haiwezi kuongoza nchi

Anayesema vijana tusidanganyike chadema haiwezi ongoza nchi ni Akili finyu kwani sisi hatujui pa kwenda? chadema itaongoza na si I kutawala upo hapo.hadanganyiki mtu
 
Ingawa mimi ni M-CCM mwenzako, ila usidanganyike. Hakuna chama kimetoka mbinguni kije kiongoze nchi. Ni suala la muda tu. Ukitoa vyombo vya ulinzi na usalama na kuviweka pembeni, picha ingekuwa tofauti kabisa.

salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom