Vijana msidanganyike!! CHADEMA haiwezi kuongoza nchi

watu wengi siku hizi mmemfanya gwajima kama source ya habari kwenu lkn mnasahau kuwa gwajima anaongea kwa chuki na uongo
 
Mmmh JF imevamiwa,huu nao eti ni uzi!Ndugu uko kwenye majaribio ya kuandika au?
Atakuwa kaamua kuachana na bashitism & masijid na kuanza chekechea,maana hizi ni akili za chekechea,mwandiko wa chekechea.
 
Ccm mmechoka mwili na akili.

Mwenyekiti anapenda shilawadu unataka aaminiwe afanye nini!!!

Tengua teua tengua teua tengua teua.......
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Utakuwa na mimba ww
 
Walaaniwe waarabu waliokufundisha kujirahisha na kujikombakomba!..
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Ok kwa miaka 60 tumeona jinsi ccm mnajua kuendesha nchi kurudi nyuma
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Asante kwa kutuambia kuwa nchi inaongozwa na Magufuli na Makonda.

Wapi Mama Samia, wapi Majaliwa? Wapi Dr. Shein?

Hongera zao Magufuli na Makonda. Kweli ndo wanaoongoza nchi.
 
Mkuu wetu yuko poa kabisa tatizo ni hali ya maisha kuwa ngumu tuu mengine ya kawaida
 
John Kisomo kaweza basi watz wengi wanaweza...hadi Bulembo campaign manager
 
salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Poor u
 
Ifike kipindi watanzania bila kujali chama tuangalie nini tufanye nchi yetu iwe n democrasia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom