ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
- Thread starter
- #101
Pia asingekuwa makonda tusingemjua gwajima alivyo empty kichwani elizei zephyline kitambwa
NJAA ya ubwabwa na kujengewa masjid yenye tiles chiniUstadh juma mbna mfungo Bado
Unasumbuliwa na kitu gani
Swali zuri sanaUnadhani kuiponda na kuikebehi CHADEMA kutakupa msaada wa kuacha kulala kwenye vibaraza vya msikiti?
Asingekuwa Makonda wa kuwajengea msikiti unaotekenya kwa chini eeh...!Pia asingekuwa makonda tusingemjua gwajima alivyo empty kichwani elizei zephyline kitambwa
Chocochaneli ni mkeo? Mbona mnafanana sana?salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Hivi hapo ofisini kwenu lumumba hakuna A/C? Naona joto limeathiri mpaka mfumo wako wa kufiri.Haya machadema jinsi yanavyotetea mafisadi na wauza madawa ya kulevya ndio yanaharibu kabisa
kufikiri nako kaziWana maigizo na wacheza sinema wa ccm wameweza kuongoza ?kiazi wewe ndiyo maana Baba ako aliwambia wazazi wako wanapenda katerero.
Tunajua hawezi mtumbua si ni noniliiiii hope ushaelewa mkubwa wewe, baki na akili zako za kibashite hizo hata firauni alijiona yeye ni mungu lakini ilifika wakati akamkubali mungu wa musa. Sasa omba mungu akupe maisha marefu utashuhudia tu mabadiliko makubwa ktk nchi yetu.salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
salaam kwenu wana jf!!

Wewe una ukurutu kwenye ubongoAzarel Alafu acha kutumia double ID eti unajiuliza mwenyewe na unajijibu mwenyewe!! sishangai sana maana ndo akili zenu bavicha usikute hata hapa JF hata 50 hamfiki lkn mna maID telee ili muonekane wengi
Mwaka huu mtaimba taarabu sana tu ila magu kiboko yenu
Tatizo ulonalo ni kutojielewa, subir tshet 2020salaam kwenu wana jf!!