Maua kilasa
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 1,040
- 561
Hii ni type ya ccm kabisa. No reasoning !
Mboe ndio nani?Mboe
Sure,eti kwenye fikra kama hizo ndio wanapatikana madc!ShameHii ni type ya ccm kabisa. No reasoning !
Kwa awamu hii kweli ccm wanaongoza Nchisalaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Kila mmoja huko ccm anatumia dozie? Maana vichwa vyenu vipo sawa hakuna wakumsaidia mwingine.Haya machadema jinsi yanavyotetea mafisadi na wauza madawa ya kulevya ndio yanaharibu kabisa
Naona akapime Sugu kwanzasalaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Kwa awamu hii kweli ccm wanaongoza Nchi
Kila mmoja huko ccm anatumia dozie? Maana vichwa vyenu vipo sawa hakuna wakumsaidia mwingine.
Nchi inaongozwa na watu. Chama ni njia tu..yeyote anawezasalaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Naon we unatak zito la kwend kulalia.. bweg ww mfyuuuusalaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Ujinga umekujaa mpaka umepitiliza hii inchi inastahili kuongozwa na mtanzania mweny sifa ya kuwa kiongz.salaam kwenu wana jf!!
sitaki kuongea meeeengi ila nawaambia tu kuwa chadema haiweza kuongoza nchi wala raisi hawezi tokea chadema hilo hata mh lowasa analijua........"There is big difference btn vetting and voting" Then msitegemee mh makonda kuondolewa kama mnavyotaka nyinyi!! Nyinyi hamumjui makonda ila mh raisi anamjua zaidi kuliko hata mnavyomjua nyinyi!!
Tanzania oyeee
Magufuli oyeee
Makonda oyeee!!
Kuongoza cdm inaweza,tatizo lao hawataki kujifunza kutokana na makosa ya mshindani wao, Wanatafuta huruma ya jamii lakini hawafanyi kitu kuipata na kubakia nayo, Tusiwakatishe tamaa sana wakijipanga wanaweza tu, wabadili mkakati chama siyo tu watu bali watu wenye lengo linalofanana(common goal). Je wanao?salaam kwenu wana jf!!