Vijana mnaofuga ndevu hamna pesa

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,766
36,359
Hunijui sikujui.

Huo ndio ukweli, nyie vijana mnaofuga ndevu kama fashion ya kileo mjini hamna pesa. Kazi yenu kujichubua tu na kutongoza hovyo.

Kwa kuwa wadada wa leo hawajui wanahitaji nini wanashituka wameshabeba mimba zenu na pesa za kuwahudumia hamna.

Fugeni angalau kuku wa kienyeji hapo uani kwa wazazi wenu kuliko kufuga mindevu na pesa hamna.
 
Weka picha
 

Sasa wewe inakuuma nini hasa????? maana kwa jinsi navyoona ni kama vile hayakuhusu
au dada yako kawa victim??!
 
Ipi tafauti yako na dada ako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…