binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 8,904
- 22,290
Mi sijambo pia jirani, Ati Dodoma pia tujenge? kwa hivi viwanja vya 10M!Ningeshangaa usinge itaja Dodoma...😂
Misijambo jirani
Mi sijambo pia jirani, Ati Dodoma pia tujenge? kwa hivi viwanja vya 10M!Ningeshangaa usinge itaja Dodoma...😂
Misijambo jirani
Ndio walizikuta,kuna watu wanamiliki vijipesa mbuzi na hawataki stress hata chembe.Na hao ulioenda kwako walizikuta barabara wakati wa nyuma?
Hii fomula ina cut across kila nyumba na kwa kila mpangishaji......maana ukienda na fomula zako kwenye nyumba ya mtu anaweza asikuelewe kabisa...Kwa mfano, three bedroom house yenye gharama ya 30million shillings, pangisha kwa 200,000/- a month or less.
Ukiambiwa jengea fence nyumba na geti na paving blocks, chukua thamani ya hiyo nyumba kabla ya kufanya hivyo halafu ongeza gharama za kuongeza hivyo vitu.
Then hakikisha jumla yake unagawanya kwa 150. Hiyo itakupa gharama ya kodi ya mwezi.
Kama utatumia milioni sita, utajua miezi mingapi mtakubaliana.
Tatizo kwa hali ya sasa ya vipato na kupaa kwa bei ya vifaa vya ujenzi, kujenga nyumba inaonekana kama ndoto kwa vijana wengi.......ni bora wakapanga chumba cha bei nafuu na kuepuka majukumu ya mapema na show off za magari na simu za gharama hadi angalau wawe na kiwanja chenye msingi...Vijana wenzangu ukipata hela nyingi nunua kiwanja na jenga nyumba yako, maswala ya kurekebisha nyumba uliyopanga na kukatana kwenye kodi na mwenye nyumba ni upuuzi.
Hizi idea za capitalist hizi kwa bongo bado ngumu mno.
Leo tuna maisha kesho tuu maisha yetu yanaweza kua upside down tusiamini, sasa nani atakulipia kodi?
A lot of uncertainties, bora ujenge upangishe kukiharibika unarudi kwako.
Hana haja ya kukuelewa, biashara ya nyumba Tanzania ipo chini ya dalali. Wewe calculate bei yako kichwani halafu mwambie akutafutie nyumba.Hii fomula ina cut across kila nyumba na kwa kila mpangishaji......maana ukienda na fomula zako kwenye nyumba ya mtu anaweza asikuelewe kabisa...
Nyumba inakuwaje liability wakati inakupa utulivu na familia kuishi kwao, na kukwepa usumbufu wa kulipa kodi? maana mambo hayatabiriki haya...Hana haja ya kukuelewa, biashara ya nyumba Tanzania ipo chini ya dalali. Wewe calculate bei yako kichwani halafu mwambie akutafutie nyumba.
Ukiielewa unaingia mkataba.
Wengi kwa mfano, watataka fence ili kulinda nyumba zao na kuongeza usalama wa mpangishaji. Akitaka hivyo, tumia formula kichwani mwako ili uje na makubaliano ambayo yatakupa faida.
Kuwa na nyumba siyo ujanja. Nyumba ni liability, ila kiwanja ndiyo asset.
Nyumba haina faida kifedha, inakufanya utumie hela ukiwa nayo.Nyumba inakuwaje liability wakati inakupa utulivu na familia kuishi kwao, na kukwepa usumbufu wa kulipa kodi? maana mambo hayatabiriki haya...
Hana haja ya kukuelewa, biashara ya nyumba Tanzania ipo chini ya dalali. Wewe calculate bei yako kichwani halafu mwambie akutafutie nyumba
Kuwa na nyumba siyo ujanja. Nyumba ni liability, ila kiwanja ndiyo asset.
Kivip kiwanja ni asset?!
Nyumba haina faida kifedha, inakufanya utumie hela ukiwa nayo.
Sometimes ni rahisi kulipa kodi kuliko kuwa na nyumba yako mwenyewe ili mradi ujue ku-bargain.
Ukinunua ekari kumi Chalinze leo na mtu akajenga Chanika nyumba ya vyumba vitatu.
Baada ya miaka kumi utakuwa umetengeneza hela mara kumi yake. Kinachokupa utulivu ni hela na siyo nyumba.
Sijui watu mpoje, imagine kodi ni Laki moja kwa mwezi.na mwenye nyumba anataka kodi ya miezi sita ambayo ni 600k.sasa kama una hyo mili 1,Kuna shida mtu akifanya ukarabati na hatimaye wakatane kwenye kodi??Hapa ndio utajua tuna aina gani ya vijana.
Exactly,Nyumba haina faida kifedha, inakufanya utumie hela ukiwa nayo.
Sometimes ni rahisi kulipa kodi kuliko kuwa na nyumba yako mwenyewe ili mradi ujue ku-bargain.
Ukinunua ekari kumi Chalinze leo na mtu akajenga Chanika nyumba ya vyumba vitatu.
Baada ya miaka kumi utakuwa umetengeneza hela mara kumi yake. Kinachokupa utulivu ni hela na siyo nyumba.
Lakini si itahitaji maandishi?!Sijui watu mpoje, imagine kodi ni Laki moja kwa mwezi.na mwenye nyumba anataka kodi ya miezi sita ambayo ni 600k.sasa kama una hyo mili 1,Kuna shida mtu akifanya ukarabati na hatimaye wakatane kwenye kodi??
Mentality zenu sijui zikoje,
Ee mnaandikishana mkuu.Kuna tatizo ukifanya huo ukarabati wa mil moja? Pesa ambayo itaingia kwenye kodi.Lakini si itahitaji maandishi?!
Hamna tatizoEe mnaandikishana mkuu.Kuna tatizo ukifanya huo ukarabati wa mil moja? Pesa ambayo itaingia kwenye kodi.