Vijana mkipata hela nyingi nunua kiwanja na jenga nyumba yako,masuala ya kurekebisha nyumba uliyopanga ni upuuzi

Kwa mfano, three bedroom house yenye gharama ya 30million shillings, pangisha kwa 200,000/- a month or less.
Ukiambiwa jengea fence nyumba na geti na paving blocks, chukua thamani ya hiyo nyumba kabla ya kufanya hivyo halafu ongeza gharama za kuongeza hivyo vitu.
Then hakikisha jumla yake unagawanya kwa 150. Hiyo itakupa gharama ya kodi ya mwezi.
Kama utatumia milioni sita, utajua miezi mingapi mtakubaliana.
Hii fomula ina cut across kila nyumba na kwa kila mpangishaji......maana ukienda na fomula zako kwenye nyumba ya mtu anaweza asikuelewe kabisa...
 
Vijana wenzangu ukipata hela nyingi nunua kiwanja na jenga nyumba yako, maswala ya kurekebisha nyumba uliyopanga na kukatana kwenye kodi na mwenye nyumba ni upuuzi.

Hizi idea za capitalist hizi kwa bongo bado ngumu mno.

Leo tuna maisha kesho tuu maisha yetu yanaweza kua upside down tusiamini, sasa nani atakulipia kodi?

A lot of uncertainties, bora ujenge upangishe kukiharibika unarudi kwako.
Tatizo kwa hali ya sasa ya vipato na kupaa kwa bei ya vifaa vya ujenzi, kujenga nyumba inaonekana kama ndoto kwa vijana wengi.......ni bora wakapanga chumba cha bei nafuu na kuepuka majukumu ya mapema na show off za magari na simu za gharama hadi angalau wawe na kiwanja chenye msingi...
 
Hii fomula ina cut across kila nyumba na kwa kila mpangishaji......maana ukienda na fomula zako kwenye nyumba ya mtu anaweza asikuelewe kabisa...
Hana haja ya kukuelewa, biashara ya nyumba Tanzania ipo chini ya dalali. Wewe calculate bei yako kichwani halafu mwambie akutafutie nyumba.
Ukiielewa unaingia mkataba.
Wengi kwa mfano, watataka fence ili kulinda nyumba zao na kuongeza usalama wa mpangishaji. Akitaka hivyo, tumia formula kichwani mwako ili uje na makubaliano ambayo yatakupa faida.
Kuwa na nyumba siyo ujanja. Nyumba ni liability, ila kiwanja ndiyo asset.
 
Nyumba inakuwaje liability wakati inakupa utulivu na familia kuishi kwao, na kukwepa usumbufu wa kulipa kodi? maana mambo hayatabiriki haya...
 
Nyumba haina faida kifedha, inakufanya utumie hela ukiwa nayo.
Sometimes ni rahisi kulipa kodi kuliko kuwa na nyumba yako mwenyewe ili mradi ujue ku-bargain.
Ukinunua ekari kumi Chalinze leo na mtu akajenga Chanika nyumba ya vyumba vitatu.
Baada ya miaka kumi utakuwa umetengeneza hela mara kumi yake. Kinachokupa utulivu ni hela na siyo nyumba.
 
Uyo chizi gani hebu nipe jina lako na mahali alipo nikampige konzi la kichwa alaf ufaham utamfunguka
 
Hana haja ya kukuelewa, biashara ya nyumba Tanzania ipo chini ya dalali. Wewe calculate bei yako kichwani halafu mwambie akutafutie nyumba
Kuwa na nyumba siyo ujanja. Nyumba ni liability, ila kiwanja ndiyo asset.

Kivip kiwanja ni asset?!
 
Nyumba haina faida kifedha, inakufanya utumie hela ukiwa nayo.
Sometimes ni rahisi kulipa kodi kuliko kuwa na nyumba yako mwenyewe ili mradi ujue ku-bargain.
Ukinunua ekari kumi Chalinze leo na mtu akajenga Chanika nyumba ya vyumba vitatu.
Baada ya miaka kumi utakuwa umetengeneza hela mara kumi yake. Kinachokupa utulivu ni hela na siyo nyumba.

Hapa ndio utajua tuna aina gani ya vijana.
Sijui watu mpoje, imagine kodi ni Laki moja kwa mwezi.na mwenye nyumba anataka kodi ya miezi sita ambayo ni 600k.sasa kama una hyo mili 1,Kuna shida mtu akifanya ukarabati na hatimaye wakatane kwenye kodi??
Mentality zenu sijui zikoje,
 
Nyumba haina faida kifedha, inakufanya utumie hela ukiwa nayo.
Sometimes ni rahisi kulipa kodi kuliko kuwa na nyumba yako mwenyewe ili mradi ujue ku-bargain.
Ukinunua ekari kumi Chalinze leo na mtu akajenga Chanika nyumba ya vyumba vitatu.
Baada ya miaka kumi utakuwa umetengeneza hela mara kumi yake. Kinachokupa utulivu ni hela na siyo nyumba.
Exactly,
 
Sijui watu mpoje, imagine kodi ni Laki moja kwa mwezi.na mwenye nyumba anataka kodi ya miezi sita ambayo ni 600k.sasa kama una hyo mili 1,Kuna shida mtu akifanya ukarabati na hatimaye wakatane kwenye kodi??
Mentality zenu sijui zikoje,
Lakini si itahitaji maandishi?!
 
Kwa dunia ya sasa na wakubwa walivyo na tamaa ya kujimilikisha ardhi
Kuna mda hata hivyo viwanja watu watakosa itakuwa kama Kenya

Mwenye kusikia asikie na kila kukicha bei zinapanda na wanaopandisha sio inflation tu bali wenye mashamba
 
Back
Top Bottom