Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,487
- 20,048
very true kakaInabidi kujizuia before we say things we all gonna regret
very true kakaInabidi kujizuia before we say things we all gonna regret
Nikweli kabisa familiar, laana zingine ni za kujitakia, ukicheki kwa maisha yetu ya Kitanzania Mzee wa kimaskini kufika umri wa miaka 70 au 80 akiwa na afya ningumu sana usikute Mzee wawatu alikuwa anaumwa daaah.Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa.
Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu.
'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA UJANANI USITULETEE... Duh nilishtuka sana nikaishia zangu.
Aisee inawezekana kweli mzee kakosea ila kuna njia nzuri ya kuongea na mtu mzima au mfanyakazi wako na sio lugha kama hizo. Kijana mdogo namna ile kumtukana mzee ambae anaweza kuwa baba au babu yake si sawa. Kuna laana nyingine za kujitakia. Vijana kuweni na busara.
Kisa nini 🤣Ila Kuna wazee wengine wanazingua. Kuna mzee wa miaka Kama 60 hivi eti alikua anataka kupigana na Mimi. Nilimpa mashuti akaanza kulia Kama mtoto.
Kivipi mkuuWazee nao miyeyusho sometime
Njoo kwenye mradi wa bomba la mafuta huu wa tanzania ukutane na ngozi nyeupe yani kufukuzwa kugusa tu.Yani ulete umri wako kwenye kazi unayopewa pesa.Aisee
kama kina kachalala na wac raKivipi mkuu
Duh vijana wa Gen Z hamna breki. Mimi na rafiki zangu huwa tunaambiana hawa vijana kaa nao mbali hawajui huyu mzee au mtoto.Ila Kuna wazee wengine wanazingua. Kuna mzee wa miaka Kama 60 hivi eti alikua anataka kupigana na Mimi. Nilimpa mashuti akaanza kulia Kama mtoto.
Inasemekana hata wapumbavu huzeekaHata humu jf, vijana wa gen Z wanatoa matusi hadi kwa wazee wao.
Kisa alikamatwa na polisi kwenye virabu VYA gongo alafu Mimi nilikuwa mpangaji wake. Akaniuliza kwa nini sijaenda kumuangalia polisi. Nika mwambia nilikuwa Sina muda Ugomvi ukaanzia apo sasaKisa nini 🤣
Sio kila mtu atamjua mmatumbi utakae mtaja, huyo ndugu ni nani kwani?kama kina kachalala na wac ra