Vijana jifunzeni programming you wont regret it

Mbona izo program ulizotaja ni chache ukilinganisha na idadi ya watu?
We ume develop program gani?
 
angalia hii video utakuwa inspired kudevelop app inayofanana na mpesa
 
tafuta app inaitwa sololearn itakusaidi kwa kuanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nina vyeti vizuri sana vya I.T ila walimu walikuwa lipua kwenye practical. Nataka kuwa mtamu katika either graphics, networks, web development and programing ile web based!
ww ndo ulikuwa mzembe cz kuwa na computer na internet inatosha sana kwa ww kujifunza na kupratice isitoshe mwanga ulikuwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mh! kwel kufa kufaana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi fungua group what's up

SIJUI KESHO.
 
unaweza jifunza language (php,python,java) yoyote online lakini displine inaitajika kuwa mvumilivu na kutokata tamaa, cz sio rahisi .


kwa kuanzia tafuten app inaitwa sololearn ni nzuri sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee hivi vitu viliwi programming na networking ndo nlibakizaga.
Mambo yananbana kinomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…