Vijana changamkieni fursa za mradi wa gesi Rukwa

Habari za jukwaa la ajira na tenda.
Nimepata tetesi za uhakika kutoka mamlaka ya TPDC kuwa kuna mradi wa utafutaji wa mafuta na gesi mkoa wa Rukwa utaanza mwezi wa sita.
Vijana changamkieni fursa hiyo.
Kuna fursa gani za vijana kuchangamkia kupitia mafuta na Gesi?

Tueleze vzr mkuu
 
Habari za jukwaa la ajira na tenda.
Nimepata tetesi za uhakika kutoka mamlaka ya TPDC kuwa kuna mradi wa utafutaji wa mafuta na gesi mkoa wa Rukwa utaanza mwezi wa sita.
Vijana changamkieni fursa hiyo.
Yeah inawezekana utafiti ukafanywa na kampuni ya kichina ya BGP kama walivyofanya Mtwara,Zanzibar na Mlandizi.

Kuna kampuni nadhani ni AGS ilifanya hapo awali ila haww BGP watakuja kuufanya kwa 3D kama walivyofanya mlandizi.
NB: Sina uhakika na hiyo tenda mtafiti gani kaipata.
 
Kama ni kampuni ya AGS nimepafahamu ni katika Bonde la ziwa Rukwa upande wa Kamsamba ni mkoa wa Songwe huo

Walikuwa pale mwaka Jana na sijui waliishia wapi coz mm niliondoka eneo lile nilikuwa nimeenda kufanya harakati zangu
 
Bado hujapata bando?
 
Habari za jukwaa la ajira na tenda.

Nimepata tetesi za uhakika kutoka mamlaka ya TPDC kuwa kuna mradi wa utafutaji wa mafuta na gesi mkoa wa Rukwa utaanza mwezi wa sita.

Vijana changamkieni fursa hiyo.
Kule Songosongo na Mnazibay vijana wamezipata hizo fursa?
 
Back
Top Bottom