Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

Mwaka 2019/2020 nilikuwa nazinywa sana 🤣🤣😂

IMG-20240316-WA0014.jpg
 
Aisee Mimi bila Energy drinks sijisikii vizuri kabisaaa, 2014 nilikuwa nakunywa mpaka 6 per day lakini Sasa hivi asubuhi kabla sijala chochote lazima ninywe moja baridiii sana ndio nitafute chai Sasa. 🤣🤣🤣
Halafu mwenyewe unacheka kama umeandika kitu cha kufurahisha vile!!😏😏😏 ovyooo
 
Serikali ipige marufuku hizi energy drinks hasa za kwenye chupa za plastic maana zinauzwa mno bei rahisi.

Kama kuna ulazima ziwepo basi ziwepacked kwenye kopo za Alluminium na moja iuzwe 6,000 ili kuthibiti unywaji holela.

Kama pombe za karatasi za viroba zilipigwa marufuku, Serikali inashindwa nini kupiga marufuku huu ulevi wa energy drink ili kuokoa nguvu kazi ya nchi na kupunguza mzigo mkubwa kwa sekta ya afya?
Huenda watengenezaji wake ndiyo wanaolipa kodi kubwa serikalini!
 
Aisee Mimi bila Energy drinks sijisikii vizuri kabisaaa, 2014 nilikuwa nakunywa mpaka 6 per day lakini Sasa hivi asubuhi kabla sijala chochote lazima ninywe moja baridiii sana ndio nitafute chai Sasa.
Kapime figo na ini then utuletee majibu... Mara nyingi elimu yetu watu wanafikiri tunasoma ili tupate kazi au kuajiriwa. Ukweli ni kwamba elimu ni maisha, waliosema ni ufunguo wa maisha walikuwa sahihi. Ukiwa umeelimika huwezi tuu kuamua kujinywea chupa 6 za energy drinks kwa sababu utakuwa unajua madhara yake, ukiwa umeelimika utajua huwezi kufanya sex peku peku kwa sababu unaweza kupata magonjwa au unplanned pregnancies, ukiwa umeelimika.... the list goes on and on...
 
Niko vizuri halafu unywaji huo ulikuwa ni zaidi ya miaka 6 au 7 nyuma sio leo
 
Watoe maelezo kitaalamu hizo energy drink zina chemical zipi ndani yake zinaopelekea kuharibu figo, sio kusema tu energy drinks zinaharibu figo.
Hii itasaidia sana watu wapate uelewa kwa upana zaidi.
Watu wengi wana smart phones ambapo madhara ya energy drinks yameelezwa, lakini kwa kuwa simu matumizi makubwa ni kuzama kwa Mange Kimambi App, story za udaku, kubeti nk bado watu wanadai wapewe elimu. Hivi mbona hakuna aliyetoa elimu ya jinsi ya kubeti, kutafuta mademu au kupiga pombe?
 
Back
Top Bottom