Vijana acheni kujidanganya. There's no True love without sex katika mahusiano

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Katika kitabu cha John Maxwell kiitwacho Thinking for Change kuna point alizungumzia kuhusu mahusiano ya mwanamke na mwanaume kama hawashiriki tendo la ndoa au sex hapo hakuna TRUE LOVE zaidi ya kupotezeana muda.

John Maxwell anasema sex ndio chombo pekee kinachotengeneza true Love na kama partner wako ukiona suala la sex katika mahusiano yenu then upo katika wrong place na umebeba jiwe zito muda wowote litakuangusha.

Hivyo basi mpenzi wako hata akupende vipi kama hayupo tiyali kukupa sex hadi ndoa basi tambua upo katika mahusiano ambayo ikoo siku yatasambaratika.
 
Uhalisia ni huu,

Vijana eleweni kwamba kile kihali huwa mnakisikia mnakiita love na kulala saa nane ukiongea na kuchat na mwenzio si love ni ufala flani hivi.

Love huonekana baada ya angalau miaka 8 ya kuishi pamoja. Manyonyo ya mke yalishalala, mmejambiana hapo ndani weee usiku, mwenzio kanya hajaflash ukaja kuflash n.k n.k. Tuliopo kwenye ndoa na kina mama naniii tunaelewa.

Hapo hata mume ukipata kisukari sijui presha at your 50's na mkeo 40's ukawa unasimamisha mara mbili tu kwa mwezi love will hold that marriadge till death.

Sex and love ni vitu viwili tofauti ila hakuna love inajengwa in 2 to 3 month even one year, hata muwe mnafanya sex every minute japokuwa kale kahali ka ufala ni mwanzo mzuri wa safari.
 
Sex and love ni vitu viwili tofauti ila hakuna love inajengwa in 2 to 3 month hata muwe mnafanya sex every minute japokuwa kale kahali ka ufala ni mwanzo mzuri wa safari.

Nimecheka sana..
 
Uhalisia ni huu,

Vijana eleweni kwamba kile kihali huwa mnakisikia mnakiita love na kulala saa nane ukiongea na kuchat na mwenzio si love ni ufala flani hivi.

Love huonekana baada ya angalau miaka 8 ya kuishi pamoja. Manyonyo ya mke yalishalala, mmejambiana hapo ndani weee usiku, mwenzio kanya hajaflash ukaja kuflash n.k n.k. Tuliopo kwenye ndoa na kina mama naniii tunaelewa.

Hapo hata mume ukipata kisukari sijui presha at your 50's na mkeo 40's ukawa unasimamisha mara mbili tu kwa mwezi love will hold that marriadge till death.

Sex and love ni vitu viwili tofauti ila hakuna love inajengwa in 2 to 3 month even one year, hata muwe mnafanya sex every minute japokuwa kale kahali ka ufala ni mwanzo mzuri wa safari.
😂😂😂😂😂😂
Hii naiandika kabisa

👣👣👣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom