Vijana acheni kujidanganya. There's no True love without sex katika mahusiano

Katika kitabu cha John Maxwell kiitwacho Thinking for Change kuna point alizungumzia kuhusu mahusiano ya mwanamke na mwanaume kama hawashiriki tendo la ndoa au sex hapo hakuna TRUE LOVE zaidi ya kupotezeana muda

John Maxwell anasema sex ndio chombo pekee kinachotengeneza true Love na kama partner wako ukiona suala la sex katika mahusiano yenu then upo katika wrong place na umebeba jiwe zito muda wowote litakuangusha.

Hivyo basi mpenzi wako hata akupende vipi kama hayupo tiyali kukupa sex hadi ndoa basi tambua upo katika mahusiano ambayo ikoo siku yatasambaratika
Acha umalaya
 
Kama anakupenda tayari fanya taratibu ili umuoae haraka sio unasema hakuna TRUE LOVE bila SEX halafu unapewa hadi miaka5 na wala humuoi unaishia kumuacha

Hapo ndio kutafutana lawama⛽💣🔥
Afadhali umtunuku angalau mara moja au mbili afu usimamie hilo la kusubiri ndoa, kuliko kumnyima mwanzo mwisho huku ukihitaji shoo unapelekea mwingine
 
Afadhali umtunuku angalau mara moja au mbili afu usimamie hilo la kusubiri ndoa, kuliko kumnyima mwanzo mwisho huku ukihitaji shoo unapelekea mwingine

Hiyo maramoja au marambili inapimwaje mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo maramoja au marambili inapimwaje mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
Mikutano (sessions)..
Mkutano wa Kwanza mnapeana afu siku nyingine tena hivyo hivyo.
Vinginevyo, utajikuta umeshika miguu wanakamua wengine, eti unasubirishwa ndoa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom