Vigogo tisa wa CCM kuhamia CHADEMA baada ya Mei Mosi

HII NATOA KAMA DEDICATION KWA KAMANGA WA DAMU-MOLEMO.
Habari njema kwetu na chungu kwa Rejao,na ritz..........mtubu kabla safina haijafungwa
 
Ulifikiri dhana ya kujivua gamba ina maana ipi? magamba yaliyokauka yanapukutika yenyewe na tunabaki na ngozi safi na nyororo.

Sasa mnapukutika si magamba tu,mnapukutika hadi moyo!! mtakataana sana mwaka huu
 
Huu ni upepo tu mwambieni lema aende mtwara kama atapata kitu

huko ndio vilaza na magoigoi wa mageuzi wapo hata afrika sio nchi zote zilipata uhuru wakati mmoja ila kimbunga kikipita hata wao lazima walainike
 
Huu ni upepo tu mwambieni lema aende mtwara kama atapata kitu

Mtwara ni weupe, na hivi walivyotapeliwa pesa yao ya korosho na serikali ya magamba, CDM wakiwasha moto utaona jinsi utakavyosambaa. It's a matter of time! Soon tunakuja kaka
 
nani kakwambia Monduli ngumu, ile ni shamba laini kuliko zote. Sisi ndiyo cdm na cdm ndiyo sisi mahali hapana njia sisi tunaweka njia Igunga walikuwa hawajui nini kinaendelea duniani tukaenda na tukawaamsha ndiyo ije kuwa hapo Monduli
 
Wachagga wanatapatapa, Miaka kumi ya Jk bila ya kuwa na Waziri wa fedha,katibu mkuu hazina na Mhasibu mkuu sio kazi ndogo na haijawahi tokea tangu uhuru,Jifunzeni biashara halali,mnakumbuka sana enzi zile katibu mgonja,waziri mramba,ikulu Anna,TRA kitilya!
 
lo! kwa mwendo huu CHADEMA sasa haikamatiki tena. Nahisi moyo wangu unaanza kupata faraja na kuiona Tz mpya yenye kila sababu ya kuwa nchi yenye maendeleo makubwa barani Afrika.
 
Huu ni upepo tu mwambieni lema aende mtwara kama atapata kitu

Mkuu, kwa hiyo kwako wewe Tanzania ni Mtwara tu?
Kwamba CDM wakienea sehemu zote za nchi isipokuwa Mtwara basi watakuwa hawajafanya kitu?
Unashangaza sana.
 
Back
Top Bottom