Viongozi wa serikali wapo kwaajili ya matumbo yao na wala si kwaajili ya kutumikia wananchi, so kila dili lolote litakalo tokea lazima wao wawe wa kwanza kunufaika. Nawapongeza CDM misaada waliyotowa waliwapa waathirika moja kwa moja.
Kama kweli hili limefanyika hii ni kufuru na uchokozi dhidi ya amani (....) tuliyonayo. Fikiria kwamba waliokuwa wapangaji maeneo yaliyoathirika wameambiwa wajitafutie pa kupanga na kwamba serikali haishughuliki na wapangaji ila wenye nyumba!
Hebu fikiria bila wenye nyumba kuwa na nyumba hapo hao wapangaji wangeathirika vipi? ikizingatiwa kwamba zoezi zima kwa mpango fulani serikali inahusika kwa kutochukua hatua mapema na badala yake kujikita kwenye siasa badala hali halisi.
Heri yako una nyumba tayari au hela ya kupanga Masaki.Ngoja tuhangaike tu tutapata hela nyingine ya kupanga Kigamboni/Mbagala...Mimi hili la wapangaji nao kudai viwanja sili support ... Wapewe wenye nyumba tu ... Wapangaji wakatafute mahala pengine "sio bondeni kupanga "
Mimi hili la wapangaji nao kudai viwanja sili support ... Wapewe wenye nyumba tu ... Wapangaji wakatafute mahala pengine "sio bondeni kupanga "