Vigogo Dar wajiingiza orodha ya waathirika wa mafuriko... viwanja!

Wapo baadhi ya watanzania wenzetu wanafanya mambo maovu lakini baya zaidi ni idadi kubwa ya watanzania wema wanaoshuhudia maovu na kubaki kimya bila kuchukua hatua yoyote. Ni vema tukaamua kutowafumbia mambo waovu wote naamini tukimaanisha tuyasemayo haki itaishinda dhuluma.
Naamini hizi tunazolalamikia kwamba ni shida za maisha zinazoletwa na haw viongozi wetu, sisi kama watanzania hazijatutosha! Siku zikitutosha tutachukua hatua, na tafsiri ya hii ni pale ambako kuishi na kufa vinafanana hapo itakuwa mpaka kieleweke.
 
ahaaa hii sio habari,kila mwenye akili timamu anafahamu hili lazima litokee,kwan hamuoni wahanga wanaambiwa waondoke mashuleni ila wananchi hawatangaziwi kusitisha kupeleka misaada?
 
mtanzania?jarida ili halijawai kuaminika,vigogo wapi mbona hata majina hakuna?nameless au? sipendi mada bandia kama hii.
 
hapo bwana lazima tu wakuu wapige bao,yaani hiyo haiwezekani,unacheza na tz nini,kama pembejeo za kilimo tu wanachakuwa na hata hawalimi.itakuwa viwanja?
 
Back
Top Bottom