Nasibunduki
Member
- Dec 27, 2021
- 49
- 62
Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa natakiwa niwe na vigezo gani?
Naomba msaada wenu wanajamvi
Naomba msaada wenu wanajamvi
Jaman hapa si tupo kwa lengo la kusaidiana kimawazo na kujuzana kwa tusivyovifaham ili tufike tunakoelekea au nmekosea kuuliza