Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,735
- 39,838
- Thread starter
-
- #2,241
Kila nikigoogle sipati Hata source moja inayosema wamezindua, type feedback mkuu isijekuwa ni janja janja ya watu wakasajili line tu.Bado sjajua boss wangu kesho nataka nipite ofisini kwao nikapate hiyo Line pia niwaulize hiyo kitu.
Daah!! hali tete kila kona aisee kweli tumeshikwa pabaya
Smart guy
Hayo maDk na SMS wanampa nani ?Halotel kifurushi cha chuo kwa wiki
Kutoka mb500 hadi mb250 na dk
Ishakua tabu hiiView attachment 1155343
Ni balaaYani wote wameshikilia kwenye makende kabisa.
Hivi hii tigo size yako wanakukadiria kutokana na matumizi yako ya internet au ni kama kubet?
Haaa...wwlisemaje mkuuMm mpk nimewafata pale Tigo Shop Mlimani city.... Majibu kama vile wamehamishiwa Burigi kwa lazima
Nimepita leo nimekuta foleni kubwa sana nimeona shida kusubiri na ilikuwa mida ila bado mnanidai feedback lazima niilete humu.Kila nikigoogle sipati Hata source moja inayosema wamezindua, type feedback mkuu isijekuwa ni janja janja ya watu wakasajili line tu.
UtakubaliVoda naona wmezidi kukaza
1gb ya University nilikua nanunua kwa buku 2,leo hii nakuta mb 250 tu kwa buku 2 ile ile
Menu yao ni ipi mkuu?Naona tigo wamerudisha. Labda ilikuwa tatizo la kiufundi. View attachment 1158093
sisi ambao tulikuwa tunanua kwa buku 3000 halaf unapata Gb 2 sasa ni ni Gb 1.2Voda naona wmezidi kukaza
1gb ya University nilikua nanunua kwa buku 2,leo hii nakuta mb 250 tu kwa buku 2 ile ile
Utakubali
sisi ambao tulikuwa tunanua kwa buku 3000 halaf unapata Gb 2 sasa ni ni Gb 1.2
nimekimbilia Ttcl na speed ni nzuri tuHawa jamaa sijui wanashida gani..wmetibua virurushi had dar superuni