mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,560
- 10,208
Mataita wakiandika majina yao mtachoma kama ya MO29Sasa hayo unayajua wewe sisi raia tunajua zote ni za abood bhana.
Mataita wakiandika majina yao mtachoma kama ya MO29Sasa hayo unayajua wewe sisi raia tunajua zote ni za abood bhana.
Sikujua kama SGR nauli ni kubwa vile, ni kweli ni mwendo Kasi lakini Wanyonge hatutoboihivi huyu anaijua SGR, mambo ya ajabu sana sasa kuna maana gani kuwa na mwendokasi. huyu atakuwa anahujumu SGR ndiye yupo syndicate na wenzake wanahimiza nauli iwe kubwa.
awamu ya kwanza kama 40, ya pili kama 70Duuh...mliohesabu zipo ngapi?
Hatari sana. Walete mpaka huku kwetu Namanyere sasa sio kila gari Dom Dar es salaamawamu ya kwanza kama 40, ya pili kama 70
Duuu na bado ana mabus mengine bado mazuri pia...awamu ya kwanza, 36, ya pili 50 hivi
Bajaji nadhani mwaka 2019 niliendaga posta mpya pale ilikuwa 7,300,000 leo milioni 13, duh!Tanzania vitu kuwa na bei kubwa sidhani kama ni hujuma kama Guta linauzwa Tsh 8m Bajaji mpya 13m thamani ya hela haiendani na huduma.
Itafika 20m si ndio serikali inataka watu watumie kwa ajili ya shughuli zao huku wao wakiwa na LC 300 za exemption..Bajaji nadhani mwaka 2019 niliendaga posta mpya pale ilikuwa 7,300,000 leo milioni 13, duh!