Vifurushi vipya vya Yutong D14 za Abood

Vifurushi vipya vya Yutong D14 za Abood

hivi huyu anaijua SGR, mambo ya ajabu sana sasa kuna maana gani kuwa na mwendokasi. huyu atakuwa anahujumu SGR ndiye yupo syndicate na wenzake wanahimiza nauli iwe kubwa.
Wanataman hiyo reli ife
 
Watu hawatishiki na SGR,na ujenzi wa vituo vya mafuta umepamba moto kila kona.
 
Back
Top Bottom