Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Wapendwa tumuunge mkono JK katik,a kampeni yake ya kupunguza au kukomesha kabisa mauwaji ya Tembo wetu ambao wamebaki wachache sana (sina idadi kamili).
Hata hivyo kwakuwa Jk anaenda kuiwakilisha Tanzania ningeomba jambo hili moja lizingatiwe na ndilo ombi langu kuu kwamba, asiende kurusha vijembe dhidi ya Gazeti la Daily Mail bali akaweke na aishie hapo tu penye kuweka na kuuelezea Ulimwengu mikakati au chochote alichonacho dhidi ya ku-protect Tembo wetu.
Wenzetu wale walikuja na facts basi na sisi tuweke facts kama tunazo, ni ujinga na ushamba kusema Gazeti linamchafua Rais bali tuunyeshe ulimwengu basi sis kuwa sisi "tuwasafi". Zipo hadi video zenye ushahidi huo wa wauzaji wa meno ya tembo tena Dar suio Mkoani. Kwahio kwa namna yoyote ile KIikwete usiende kupinga wala kupiga vijembe eleza mikakati yetu tu (kama ipo).
Ukimaliza rudi nyumbani tuchome yale mabango yalioyoandaliwa kwa mabilioni, maana naamini Tembo wetu hawatalindwa kwa mabngo bali kwa kila mmoja wetu kuwa mwaminifu katika utendaji wake.