Vifo vya Tembo: Tumuunge Mkono Kikwete

Vifo vya Tembo: Tumuunge Mkono Kikwete

Hivi wewe unaaamini Kikwete hawajui wanaoua tembo wetu? Ntiashangaa kama atakuwa haujui. Tatizo wanaoendesha hiyo biashara ni wale wale wanaomzunguka na kula naye. Kwani kuna siri gani kwamba Kinana anahusika na hii biashara (bila shaka hatatishia kunipeleka mahakamani kama alivyofanya kwa Mchungaji Msigwa) na huyo ndiye katibu mkuu wa chama tawala. Kwamba Kikwete hajui wakati ndege ya kijeshi kutoka ughaibuni ilikuja ikapata clearence ikatua KIA ikabeba Twiga walio hai na kuondoka.

Samahani lakini, sijui mleta mada unataka tumsaidie Kikwete kivipi?

Tiba

Tiba, mleta mada ana hoja muhimu sana ambayo ameileta kwa njia ya ustadi ili na Magambas waweze kuisoma. Nayo ni kwamba vita dhidi ya uangamizaji wa tembo haiwezi kufanikiwa kwa 'siasa za mabango'. Na kwamba JK anachokifanya ni unafiki na kufikiri kwamba wabongo ni wajinga watakaa kuduwalia mabango mijini na kuacha akina KINANA & co waendelee kupeta na uangamizaji wa tembo huko mbugani.
 
Umesema kweli, lakini kumuunga mkono mtu anaecheka cheka na majangili mi hapo utanisamehe mkuu. Kikwete hana dhamila ya dhati hata kidogo. Siwezi kumuunga mkono.
 
hahahaa HAKIKA NI WEWE TU ulienielewa, asante sana sana
Tiba, mleta mada ana hoja muhimu sana ambayo ameileta kwa njia ya ustadi ili na Magambas waweze kuisoma. Nayo ni kwamba vita dhidi ya uangamizaji wa tembo haiwezi kufanikiwa kwa 'siasa za mabango'. Na kwamba JK anachokifanya ni unafiki na kufikiri kwamba wabongo ni wajinga watakaa kuduwalia mabango mijini na kuacha akina KINANA & co waendelee kupeta na uangamizaji wa tembo huko mbugani.
 
Mimi nadhani tuwamalizie wale waliobaki ili tuone kama watahamia kwenye vyura au..............
 
Jk ni janga kwa wa tanzania, hivi ule mvuto siku hizi uko wapi?
 
Elli, is this U?
Nldhani umekuja na huo mkakati wa Jk ili tuunge mkono!

Sasa mpaka hapo tumuunge mkono kwa lipi?

hahahaa HAKIKA NI WEWE TU ulienielewa, asante sana sana
Tiba, mleta mada ana hoja muhimu sana ambayo ameileta kwa njia ya ustadi ili na Magambas waweze kuisoma. Nayo ni kwamba vita dhidi ya uangamizaji wa tembo haiwezi kufanikiwa kwa 'siasa za mabango'. Na kwamba JK anachokifanya ni unafiki na kufikiri kwamba wabongo ni wajinga watakaa kuduwalia mabango mijini na kuacha akina KINANA & co waendelee kupeta na uangamizaji wa tembo huko mbugani.
 
Wapendwa tumuunge mkono JK katik,a kampeni yake ya kupunguza au kukomesha kabisa mauwaji ya Tembo wetu ambao wamebaki wachache sana (sina idadi kamili).

Hata hivyo kwakuwa Jk anaenda kuiwakilisha Tanzania ningeomba jambo hili moja lizingatiwe na ndilo ombi langu kuu kwamba, asiende kurusha vijembe dhidi ya Gazeti la Daily Mail bali akaweke na aishie hapo tu penye kuweka na kuuelezea Ulimwengu mikakati au chochote alichonacho dhidi ya ku-protect Tembo wetu.

Wenzetu wale walikuja na facts basi na sisi tuweke facts kama tunazo, ni ujinga na ushamba kusema Gazeti linamchafua Rais bali tuunyeshe ulimwengu basi sis kuwa sisi "tuwasafi". Zipo hadi video zenye ushahidi huo wa wauzaji wa meno ya tembo tena Dar suio Mkoani. Kwahio kwa namna yoyote ile KIikwete usiende kupinga wala kupiga vijembe eleza mikakati yetu tu (kama ipo).

Ukimaliza rudi nyumbani tuchome yale mabango yalioyoandaliwa kwa mabilioni, maana naamini Tembo wetu hawatalindwa kwa mabngo bali kwa kila mmoja wetu kuwa mwaminifu katika utendaji wake.

Naomba nikuulize jambo moja kama kweli unamjua vizuri kikwete.Je amewahi kuwa serious kwa jambo lolote zaidi ya ku pretend? alisema ana majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya wote,amewafanya nini mpaka leo? mtu mwingine anaweza kufikiri pengine ameungana nao maana kama mpinzani wako humuwezi ni bora uungane nae!

Pili unakumbuka hadithi za kilimo kwanza? zimeishia wapi? kuna sehemu yoyote ndani ya Nchi yetu jambo hilo linafanyiwa kazi kivitendo? baada ya wajanja kutengeneza pesa na hakaya zikaishia hapo hapo.je, amewahi kurudi nyuma na kufanya tathimini maendeleo ya kitu alicho kiasisi? hakuna mtu anazungumzia kilimo kwanza popote.is he serious? certainly not.

Unakumbuka alivyo washauri wajumbe watakao kuwa kwenye bunge la katiba kuwa wakaweke mbele masilahi ya TAIFA? YEYE MWENYEWE HAJAONESHA MFANO HATA KIDOGO! kuna wajumbe wamewekwa hawakupata kupendekezwa na kundi lolote lakini wapo, tena wengi tu.sasa hapo ameweka maslahi ya Nchi kweli?

HiVI unafikiri wauaji wa tembo hawajui? anawajua sana anacho fanya ni kujikosha mbele ya dunia hasa huko ulaya ili aonekane anawalinda wanyama pori wetu. ule ni usanii tena first class.HAIWEZEKANI MELI ISAFIRISHE MZIGO AMBAO MWENYE NAO HAJULIKANI! HUO MZIGO MALIPO YA USAFIRISHAJI YALIFANYIKA VIPI? Usipoteze muda wako kudhani kikwete anaipenda NCHI hii.Do not waste your time. ila kama kawaida kila utawala una akina comica ALLY WAKE.
 
hahahaa HAKIKA NI WEWE TU ulienielewa, asante sana sana
Tiba, mleta mada ana hoja muhimu sana ambayo ameileta kwa njia ya ustadi ili na Magambas waweze kuisoma. Nayo ni kwamba vita dhidi ya uangamizaji wa tembo haiwezi kufanikiwa kwa 'siasa za mabango'. Na kwamba JK anachokifanya ni unafiki na kufikiri kwamba wabongo ni wajinga watakaa kuduwalia mabango mijini na kuacha akina KINANA & co waendelee kupeta na uangamizaji wa tembo huko mbugani.
Ni u-pimbi kumuunga mkono JK katika hili.
Elli kwa uzi wako huu nakufananisha na *pimbi copyright (samahani sana)
 
Eti tumuunge mkono...! Keshatuambukiza ko.nd.om ya nini tena? Kwisha habari yetu.
 
Elli

Hivi wewe unaaamini Kikwete hawajui wanaoua tembo wetu? Ntiashangaa kama atakuwa haujui. Tatizo wanaoendesha hiyo biashara ni wale wale wanaomzunguka na kula naye. Kwani kuna siri gani kwamba Kinana anahusika na hii biashara (bila shaka hatatishia kunipeleka mahakamani kama alivyofanya kwa Mchungaji Msigwa) na huyo ndiye katibu mkuu wa chama tawala. Kwamba Kikwete hajui wakati ndege ya kijeshi kutoka ughaibuni ilikuja ikapata clearence ikatua KIA ikabeba Twiga walio hai na kuondoka.

Samahani lakini, sijui mleta mada unataka tumsaidie Kikwete kivipi?

Tiba

Ndugu yangu Elli,
Mfumo wa elimu yetu umeleta matatizo makubwa sana miongoni mwa wasomi wetu. Elimu isiyofunza uwajibikaji kwa umma na vizazi vijavyo. Watz tunaishi kama vile tuko njia moja kuelekea nchi ya ahadi! Watz wote kwa ujumla bila kujali tofauti zetu lazima tukubali nchi hii ni yetu wote, bila kulikubali hili kwa dhati kuna siku tutakuja kujuta na kusaga meno.

Wakati mwegine ni vigumu kutofautisha IQ ya wasomi wetu kati ya msomi wa darasa la saba na msomi wa kidato cha nne au msomi wa kidato cha nne na msomi wa kidato cha sita au msomi wa diploma na mwenye shahada. Nilishasema huko nyuma kwamba ni vigumu tena sana kufanya dubious businesses (yaani kama, madawa ya kulewa, ujangili, ufisadi, rushwa kubwa kubwa n.k.) katika nchi yenye vyombo vya dora kama polisi, usalama wa taifa (TISS) na watendaji wa serikali kuu, mahakama au bunge bila kujulikana. Bila kuwa na uhusiano na baadhi ya viongozi ndani ya makundi niliyoyataja hapo juu ni vigumu tena sana kufanya biashara za hatari popote duniani bila msaada ya watu hawa. Tusipokuwa wakweli katika majukumu yetu ya kila siku nchi hii tutaiharibu kabisa kwa sababu mambo yanayolitesa taifa letu yako wazi lkn tunapiga propaganda hata kwenye mambo yaliyo wazi kabisa. Without critical thinking hatutoki hapa.......Tafakari
 
tumuunge mkono kivipi!!? wakati katibu wake mkuu KINANA ndio kinara wa ujangili na hakamatwi!!???
 
Katika waraka ule wa Waingereza,ametajwa kama mhusika wa biashara hiyo yeye na familia yake,na tajiri mkubwa wa hii biashara ni serikali ya China.Rais wa China alipokuja nchini,ndege iliyombeba ilipakia na hazina kubwa ya pembe za tembo wetu, hii ilikuwa ni zawadi ya kumwachia Ridhiwani alipokamatwa na madawa ya kulevya,na meli ya kijeshi nayo ikaja kupakia shehena nyingine,Rais anaenda kumuwakirisha nani? kwa sababu yeye ni mwizi wa maliasili ya Watanzania,Jamani hivi huyu MUNGU kwanini asimuue Rais wetu ili tuchague Rais mwingine?kwa sababu Watanzania wameshindwa kumuwajibisha mtu waliemchagua wao wenyewe.Naomba MUNGU atusaidie kumuua ili tuanze na moja kunusuru hili Taifa lililopoteza mwelekeo wake.
 
kama mtu kama kinana anakili kwamba kampuni yake inahusika kusafirisha pembe za ndovu ila eti hajui mzigo wa nani na bado anaachwa hapo tumuunge mkono kwa lipi????
 
Wapendwa tumuunge mkono JK katik,a kampeni yake ya kupunguza au kukomesha kabisa mauwaji ya Tembo wetu ambao wamebaki wachache sana (sina idadi kamili).

Hata hivyo kwakuwa Jk anaenda kuiwakilisha Tanzania ningeomba jambo hili moja lizingatiwe na ndilo ombi langu kuu kwamba, asiende kurusha vijembe dhidi ya Gazeti la Daily Mail bali akaweke na aishie hapo tu penye kuweka na kuuelezea Ulimwengu mikakati au chochote alichonacho dhidi ya ku-protect Tembo wetu.

Wenzetu wale walikuja na facts basi na sisi tuweke facts kama tunazo, ni ujinga na ushamba kusema Gazeti linamchafua Rais bali tuunyeshe ulimwengu basi sis kuwa sisi "tuwasafi". Zipo hadi video zenye ushahidi huo wa wauzaji wa meno ya tembo tena Dar suio Mkoani. Kwahio kwa namna yoyote ile KIikwete usiende kupinga wala kupiga vijembe eleza mikakati yetu tu (kama ipo).

Ukimaliza rudi nyumbani tuchome yale mabango yalioyoandaliwa kwa mabilioni, maana naamini Tembo wetu hawatalindwa kwa mabngo bali kwa kila mmoja wetu kuwa mwaminifu katika utendaji wake.

tumuunge mkono kwa lipi kwani orodha ya majangiri si alipelekewa akanyamaza sasa tufanyeje alitakiwa aanze na katibu mkuu wake apo ndo tutamuunga mkono mkuu
 
Kumuunga mkono Dr. Jk ni mpaka ajiunge Cdm.

Mwenye ile picha ya jk kavaa Gwanda atuwekee .
 
Kikwete pamoja na timu yake yote ikiongozwa na KINANA wanauwa tembo wetu ili kufanya biashara haramu ya meno ya tembo,huu ndiyo ukweli wenyewe. Ni upumbavu sana hata yeye kwenda huko London,angebaki tu magogoni apange jinsi ya kuwamalizia waliobaki,tujue moja tu kuliko kwenda huko ulaya kufuja pesa zetu zaidi.
 
Wapendwa tumuunge mkono JK katik,a kampeni yake ya kupunguza au kukomesha kabisa mauwaji ya Tembo wetu ambao wamebaki wachache sana (sina idadi kamili).

Hata hivyo kwakuwa Jk anaenda kuiwakilisha Tanzania ningeomba jambo hili moja lizingatiwe na ndilo ombi langu kuu kwamba, asiende kurusha vijembe dhidi ya Gazeti la Daily Mail bali akaweke na aishie hapo tu penye kuweka na kuuelezea Ulimwengu mikakati au chochote alichonacho dhidi ya ku-protect Tembo wetu.

Wenzetu wale walikuja na facts basi na sisi tuweke facts kama tunazo, ni ujinga na ushamba kusema Gazeti linamchafua Rais bali tuunyeshe ulimwengu basi sis kuwa sisi "tuwasafi". Zipo hadi video zenye ushahidi huo wa wauzaji wa meno ya tembo tena Dar suio Mkoani. Kwahio kwa namna yoyote ile KIikwete usiende kupinga wala kupiga vijembe eleza mikakati yetu tu (kama ipo).

Ukimaliza rudi nyumbani tuchome yale mabango yalioyoandaliwa kwa mabilioni, maana naamini Tembo wetu hawatalindwa kwa mabngo bali kwa kila mmoja wetu kuwa mwaminifu katika utendaji wake.
Nashindwa kuelewa, kama tembo 10000 walikuwa wanuawa kila mwakA, na hakuna mtu aliyepiga kelele mpaka wameisha, naona kama hatua hii ya serikali, ni sawa na kukumbuka Shuka wakati kumekuchA, Nina wasi wasi siwezi kuunga Mkono
 
Back
Top Bottom