Usipende kukurupuka ndg yangu, jkt kuna wenye elimu tena hata zaidi ya unavyodhani...Officer wa jeshi mara nyingi elimu yake inaanzia degree level.
Sijakurupuka ndugu! Ni kweli wapo maafisa wa jeshi waliopanda kitabu huko JKT, ila hao huwa hawana mambo ya kipuuzi ya kusulubu watoto wa wenzao. wanaofanya mambo ya kijinga ni wale wa vyeo vya chini ambao shule haijapanda! Umenipata sasa?
Kwani mtu akiamua asiende nini kitatokea? Maana kazi hazipo kama ni kazi ndio watamnyima na asipopata kazi akaanzisha yake itakuwaje hapo
sio kujitolea mkuu. wamelazimishwa kwenda kwa mujibu wa sheria wanavyodai wenyewe
Nani aliwachagua wale wabunge walopitisha hyo sheria?
Sasa ndo nahuko jeshini wawanyanyase hyo minor point haiwezi kuhalalisha hayo mambo ya kutojali wengne every one has the right to.live
Hivi unamaanisha nini unavyosema kunyanyasa? Hi nyie mkiambiwa mnaenda jeshi hamshangai kutambia mje na kalam na karatasi? Msipeleke uraia jeshini., ndio nikakwambia sheria ya kuwapeleka jeshi ilitungwa na wabunge nao walijua mafunzo yalivo
mkuu yaan kuna umuhim hii nchi ichukuliwa na jeshi watu wote sasa hvi wamekuwa wanawake.
Utakuta mwanaume mzma amekalia kulia lia tu eti wananyanyaswa hii si aibu hii!
Inamaana bila kufa mtu mafunzo hayaishi?? Mawazo potofu kabisa, siku akifa nduguyo ndo utajua thamani ya kauli yako! Poor jkt, poor tz, poor you!kaa ukijua ya kwamba intake moja ikiingia adi kuja kumalizika kwa mafunzo lazima mtu afe, ilo siyo geni kiongozi
Mmm. Hii ni hatari.
Mimi ninaomba Serikali kupitia wizara husika, pamoja na Jeshi lenyewe lisingoje tume iundwe na Bunge, baada ya kujitokeza vifo vingi zaidi kama mchangiaji mmoja anavyotaka, au wapatikane walemavu wengi ndipo watumie mabilioni kuhudumu tume ya uchunguzi.
Taarifa hizi kwa wazazi na ndugu na jamaa ya watoto waliyopo sasa katika jeshi hilo na wa wanaotazamia kwenda ni za kutisha na kujenga hofu na mashaka makubwa ya usalama na afya za vijana wao.
Hivyo ni vema Serikali na Jeshi hilo zikazifanyia kazi na kuja na taarifa kamili na sahihi ya kilichotokea, kinachofanyika badala ya kupuuzia kama waliyokufa au walipata ulemavu na kujeruhiwa hawana haki ya msingi ya kuishi kama binadamu, HEBU GEUZA KIDOGO SHILINGI UITAZAME KAMA ANGEKUWA MTOTO WAKO MAUMIVU YAKE.
Pia Vyombo hivyo husika tafadhali, isipuuze ushauri muhimu sana wa aina mbalimbali namna ya kuwahandle vijana hao ambao ni wadogo, na muda wanaokaa huko ni mfupi hawawezi kucover every thing, pia izingatiwe kuwa wapo ambao hawana na interest na mafunzo hayo au taaluma hiyo, lakini kubwa zaidi ni kufanyia uchunguzi wa kina wa afya zao wanapoingia ili kubaini matatizo yao kiafya. MUNGU UWASAIDIE WATOTO WETU.
TUNAOMBA SANA.

Nilipita jeshini intake ya kwanza OP "miaka 50 ya JKT", Kanembwa jkt 821 KJ...!!!
Kwanza mleta mada usilete upotoshaji, ni kinyume kisheria hata kwa sheria za hapa JF.
Unaposema vifo you explicitly mean ni zaidi ya kifo ki1, mpaka sasa ni kifo ki1 tu ambacho kimeharifiwa. RIP...
Hakuna mtu anayeweza kuzuia kifo anywise....
Mazoezi ya jeshini ni ya kawaida sana, in such a way that, kila mtu anaeza kushiriki kama afya yake ipo sawa.
Accidents happens bhana, who knows even the next second??? So ukisema mtu alivunjwa mbavu kwa kupigwa teke bado hainiingilii akilini, kwani ameenga kuuwawa, amaa???
Acha vijana wale cozy bana, wapate ukakamavu, uhodari, uvumilivu, nidhamu, mafunzo ya kijeshi, uzalendo nk nk...
Jeshi lina mfumo mzuri sana wa kupata taarifa na kuzifanyia kazi kuliko wewe raia unavyo fikiri ukiwa huko kijiweni kwako! Mnaendeleza majungu tu hapa na kuonyesha mlivyo waoga kama mafisi maji!