Vifo 150 ni makusudi ya Rubani Ufaransa

Vifo 150 ni makusudi ya Rubani Ufaransa

Too bad hata kama alikuwa na madai yake ila kuangamiza mamia ya watu hizo roho zitamfuata popote....nadhani kuna haja sasa wa kureview mfumo wa urushwaji wa vyombo vipitavyo angani ili kuweza kuvicontrol pale inapotokea rubanikashindwa ama kapatwa uendawazimu kama huyu!
 
Co-pilot 'wanted to destroy plane'
51 minutes ago

Co-pilot Andreas Lubitz - pictured here on his social media profile - is not known to have any links to terrorism
The co-pilot of the Germanwings flight that crashed in the French Alps, named as Andreas Lubitz, appeared to want to "destroy the plane", officials said.

Marseille prosecutor Brice Robin, citing information from the "black box" voice recorder, said the co-pilot was alone in the cockpit.

He intentionally started a descent while the pilot was locked out.

Mr Robin said there was "absolute silence in the cockpit" as the pilot fought to re-enter it.

Meanwhile, the head of Lufthansa, the German carrier that owns Germanwings, said the pilot had undergone intensive training and "was 100% fit to fly without any caveats".

"We have no findings at all about what motivated the pilot to do this terrible deed," Carsten Spohr said.

Mr Spohr said Mr Lubitz's training had been interrupted briefly six years ago but was resumed after "the suitability of the candidate was re-established".

Follow the latest developments on our live page

Mr Robin said air traffic controllers made repeated attempts to contact the aircraft, but to no avail.

Passengers could be heard screaming just before the crash, he added.


A view of the cockpit of the Germanwings aircraft, photographed a few days before the crash
Mr Lubitz, 28, was alive until the final impact, the prosecutor said.

The Airbus 320 from Barcelona to Duesseldorf hit a mountain, killing all 144 passengers and six crew, after an eight-minute descent.

"We hear the pilot ask the co-pilot to take control of the plane and we hear at the same time the sound of a seat moving backwards and the sound of a door closing," Mr Robin told reporters.

He said the pilot had probably gone to the toilet.
 
Kama mtu anaweza kuamua kujiua mwenyewe, na mtu anaweza kuwa na akili mbaya ya kutaka asife peke yake, afe na wengi, hakuna cha kushangaza hapo.

Hiki ni kitu ambacho nikiwahi kufikiria baada ya 9/11. Kwamba watu wanafanya juhudi sana kuhakikisha terrorist hawaingii na silaha kwenye ndege, lakini vipi siku moja kama pilot mmoja akaamua kuangusha ndege, akamtime mwenzake katika, akamfungia nje na juangusha ndege?

Watu wana ma frustration kibao socially, economically etc.

Nilichofikiria naona ndicho kilichotokea kama hizi habari ni sawa.

Hiyo ya pilot suicide ishatokea mara kadhaa hata kabla ya 9/11.

Mwaka 1997, kwa mfano, SilkAir flight 185 inasemekana iliangushwa kwa makusudi na rubani wake na kuua watu 104.

SilkAir Flight 185
 
Mh! haya lakini ulituambia BBC, hawa CNN mpaka mtu awe na kamusi maana taabu
Wapi nimewaambia BBC? Aliyeanzisha thread hii si mimi, lakini kwa kuwa nilikuwa na taarifa na yeye ailikuwa hajaweka chochote ndio nikaona nimuwekee huyo mdau aliyeiulizia. Peace and love!
 
Miaka ya nyuma kuna ndege ilidumbukia kwenye Baharina wataalam walipoipata ile Black box waligundua yule msaidizi wa ruban alikuwa akisema maneno ya kwenye quran ilisemekana alijitoa mhanga.Na huyu naye kama Ametokana na ile Dini inayojiita ya AMANI basi kuna uwezekano mkubwa kajitoa Mhanga
 
Miaka ya nyuma kuna ndege ilidumbukia kwenye Baharina wataalam walipoipata ile Black box waligundua yule msaidizi wa ruban alikuwa akisema maneno ya kwenye quran ilisemekana alijitoa mhanga.Na huyu naye kama Ametokana na ile Dini inayojiita ya AMANI basi kuna uwezekano mkubwa kajitoa Mhanga

Ficha ujinga wako Mkuu.
 
Tuombe Mungu wengine wasije iga mtindo hu wa kishetwani.

Hii siyo mara ya kwanza kutokea.

Mwaka 1997, kwa mfano, SilkAir flight 185 inasemekana iliangushwa kwa makusudi na rubani wake na kuua watu 104.

SilkAir Flight 185

Na kuna hii ya mwaka 1999 Egypt Air, flight 990...

Decemba 19, 1997 zaidi ya watu 100 walikufa wakato Boeing 737 iliyokuwa inasafiri kutoka Indoneia kwenda Singapore ilipoanguka. Rubani alikuwa na stress kibao za kazi (multiple work-related difficulties) na inadaiwa alizima recorders na kuiangusha ndege kwa makusudi.

Oktoba 31, 1999 ikaja hiyo EgyptAir Boeing 767 iliyoua watu 217 dakika 30 tuu baada ya kupaa kutoka New York. Uchunguzi ulidai kuwa ndege iliangushwa kwa makusudi na msaidizi wa kwanza wa rubani lakini ushahidi haukuwa conclusive.

Novemba 29, 2013, ndege iliyokuwa inasafiri kutoka Msumbiji kwenda Angola ilianguka na kuua watu 33. Uchunguzi wa awali ulionyesha kuwa ajali hiyo ilisabanishwa kwa makusudi na rubani muda mfupi baada ya msaidizi wake kuondoka kwenye deck.
 
Hiki ni kitu ambacho nikiwahi kufikiria baada ya 9/11. Kwamba watu wanafanya juhudi sana kuhakikisha terrorist hawaingii na silaha kwenye ndege, lakini vipi siku moja kama pilot mmoja akaamua kuangusha ndege, akamtime mwenzake katika, akamfungia nje na juangusha ndege?

Yea, inadaiwa kuwa kabla ya 9/11 cockpits zilikuwa hazifungwi kivile. Lakini baada ya hapo cockpits were made impregnable to keep terrorists out.

However, it also allows someone to keep their colleagues out too. Mwandishi mmoja wa BBC kauliza: Which is the bigger threat - terrorism or suicide?
 
Yea, inadaiwa kuwa kabla ya 9/11 cockpits zilikuwa hazifungwi kivile. Lakini baada ya hapo cockpits were made impregnable to keep terrorists out.

However, it also allows someone to keep their colleagues out too. Mwandishi mmoja wa BBC kauliza: Which is the bigger threat - terrorism or suicide?

Kuna mambo mengine hayazuiliki hususan kama mtu keshaamua yuko tayari kupoteza uhai wake
 
Kiukweli hapo ni kuwapa pole tu na tuombe isitutokee sisi tulio wazima
 
Dah, kuna walakini hapo kwanini aliamua kufanya hivyo.

Na mimi nimejiuliza swali hilo

Tatizo ninini sasa,au mshahara mdog?

Naamini wataanza kumfuatilia kumjua alikuwa ni mtu wa namna gani nje ndani.

Bado hajulikani kwa nini aliamua kuangusha ndege.

Kwa sasa kinachojulikana ni kuwa jina la rubani huyo mdogo ni Andreas Lubitz.

Pia taarifa zinaanza kuibuka kuhusiana na historia yake huko nyuma japokuwa sababu hasa ya kuiangusha ndege bado hazijulikani.

Andreas Lubitz alikuwa na umri wa miaka 28. Alifanya mafuzo ya hali ya juu na alikuwa mzima kwa asilimia mia moja.

Alianza mafunzo yake mwaka 2008 na aliyafanya Bremen Ujerumani na Arizona Marekani.

Miaka sita iliyopita mafunzo yake yalisimamishwa kwa miezi kadhaa lakini aliendelea nayo tena after "the suitability of the candidate was re-established".

Kwa hiyo, hapo inaonekana kama kulikuwa na mashaka juu ya ufanisi wake lakini baada wakajihakikishia kuwa anafaa.

Alianza kufanya kazi kama co-pilot au wanaita first officer na alionekana kufurahishwa na kazi yake.

Inadaiwa alikuwa anaishi na wazazi wake katika mji wa Montabaur karibu na jiji la Frankfurt. Pia alikuwa apartment Duesseldorf na alikuwa na marafiki wengi.

Profile yale ya Facebook inaonyesha life kama vile alikuwa na hobbie za kukimbia na kupenda muziki wa pop.

Soma zaidi: Germanwings crash: Who was co-pilot Andreas Lubitz? - BBC News
 
aisee inabidi sasa kuwe na utaratibu pilots wasitoke kwenye cockpit aisee, kama anahitaji kitu mfano coffee, water, food wherever wapelekewe humo humo asitoke, wawekewe na toilet yao humu humo

Baadhi ya serikali sikivu zimesikia ushauri wako na kuufanyia kazi. Ndo uzuri wa kuwa na serikali sikivu. lol.

British carrier Easyjet will now require two crew members to be in the cockpit at all times.

The move comes after the UK's Civil Aviation Authority told UK airlines to review their procedures.

Norwegian Air Shuttle and Air Canada had announced similar plans earlier today.

Chanzo: BBC.
 
Back
Top Bottom