Ni kweli Poilisi Hakuna Regiments lakini Kila Baracks inahesabika kama regiment, Na inakuwa chini ya RSM.Polisi hakuna RSM (Regimental Sergeant Major) kwa kuwa hakuna police regiment bali ni constabulary......Lance Corporal wapo
Ni kweli Poilisi Hakuna Regiments lakini Kila Baracks inahesabika kama regiment, Na inakuwa chini ya RSM.
Umeshawahi kumuona polisi mwenye V Moja?
Ninavyofahamu mimi ni kuwa kila Baracks inakuwa chini ya usimamizi wa RSM, Mambo kama nidhamu na usafi wa hapo Baracks RSM Ndiye hasa Msimamizi, mbali na hapo pia kuna RSM Kenye baadhi ya Vituo kama Central, FFU N.k,Wanapatikanaje na wanafanya nini zaidi sijui, kwa anayejua zaidi atufahamishe, ila wapo. Lens Corporal Hawapo na ndiyo maana Hujawaona.Duh......haya bwana najitoa..baracks inahesabika kama regiment siku hizi? Na inakuwa chini ya RSM wa Polisi? Kuto kumwona polisi mwenye V moja hakufuti cheo...anyway we will see
Barracks
are specialised buildings for permanent military accommodation; the word may apply to separate housing blocks or to complete complexes
Lance corporal is a military rank, used by many armed forces worldwide, and also by some police forces and other uniformed organizations. It is below the rank of corporal, and is typically the lowestnon-commissioned officer, usually equivalent to the NATO Rank Grade OR-3.
piaNdata
Mwera
Kuruta
Njagu
TiGo
Nyigu
Afande Kidekeo
Mlinzi
Kachero Hadji
Ispekta Fogu
Mpelelezi
Usalama wa Taifa
Askari Kanzu
Fanya Fujo Uone
Asante kwa kunifahamisha.
Kova wa tatu toka juu. Ila hawa wawili walio chini yake hatareee.Kati ya hawa wote yupi anayeng'oa kucha Mabwepande?
Lipo njee ya uwezo wangu. Labda mdau yeyote atatusaidiavipi vya uhamiaji na magereza vipo sawa au kuna tofauti.