GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,281
- 6,697
Kwa anayefahamu naomba msaada wa kujua ngazi ya vyeo vya polisi
Kwa mfano Inspekta ni yepi majukumu yake na anatambuliwa kwa nyota
au alama gani, Sajenti, Konstebo, Koplo n.k
Zaidi, soma:
Vyeo vya Jeshi la Polisi Tanzania kwa protocol
Kwa mfano Inspekta ni yepi majukumu yake na anatambuliwa kwa nyota
au alama gani, Sajenti, Konstebo, Koplo n.k
Kwa faida yako sio unamwangalia kova alafu ujui yeye ni mtu wa ngapi kutoka kwenye renk za juu.
View attachment 91476
Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP)
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi(DIGP)
Kamishina wa Polisi(CP)
Naibu Kamishina wa Polisi(DCP)
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP)
Kamishina Msaidizi wa Polisi(ACP)
Mrakibu Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SSP)
Mrakibu wa Polisi(SP)
Mrakibu Msaidizi wa Polisi(ASP)
Mkaguzi wa Polisi(Insp)
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi(A/Insp)
Sajini Meja wa polisi(rsm)
Stesheni Sajini wa Polisi(s/sgt)
Sajini wa Polisi(sgt)
Koplo wa Polisi(cpl)
Konstebo wa Polisi(pc)
Zaidi, soma:
Vyeo vya Jeshi la Polisi Tanzania kwa protocol