Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

1. I.G.P – Inpestor General of Police
2.Naibu I.G.P
3. C.P -Comissioner of Police
4. D.C.P -Deputy Commissioner of
Police
5. S.A.C.P-Senior Assistant
Commissioner of Police
6. A.C.P -Assistant Commissioner of
Police
7. S.S.P -Senior Superintendent of
Police
8. S.P -Superintendent of Police
9. A.P -Assistant of Police
10. I.P -Inspector of Police
11.A.I.P -Assistant Inspector of Police
12.R.S.M – Regiment Sergeant Major
13.S.S -Staff Sergeant /Station
Sergeant
14.SGT -Sergeant
15.CPL -Corporal
16.PC -Police Constable (Private)
17.RC -Recruit Constable (at
recruitment stage)before taking oarth
of allegience.
 
USIWE MVIVU WA KUFIKIRI WEWE NENDA KATIKA WEBSITE YAO WAMEAINISHA KILA KITU AU TEMBELEA MAKAO YAO MAKUU PALE OHIO UTAPATA MSAADA LAKINI TU USIWE MHALIFU WATAKUNG'ANG'ANIA HUTORUDI URAIANI.:A S-alert1:

Yaaaani ni noumaaa
 
Unaweza weka na alama za vyeo ktk kila daraja plz


RANK INSIGNIA - POLICE & SECURITY







tanzania-police-current_02.gif
tanzania-police-current_01.gif
tanzania-police-current_03.gif
KOPLO WA POLISISAJINI WA POLISSTESHENI SAJINI WA POLIS=
CorporalSergeantStaff Sergeant
tanzania-police-current_04.gif
SAJINI MEJA WA POLISI
Sergeant Major
tanzania-police-current_05.gif
tanzania-police-current_06.gif
tanzania-police-current_07.gif
MKAGUZI MSAIDIZI WA POLISIMKAGUZI WA POLISIMRAKIBU MSAIDIZI WA POLISI
Assistant InspectorInspectorAssistant Superintedent
tanzania-police-current_08.gif
tanzania-police-current_09.gif
tanzania-police-current_10.gif
tanzania-police-current_11.gif
MRAKIBU WA POLISIMRAKIBU MWANDAMIZI WA POLISIKAMISHINA MSAIDIZI WA POLISIKAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI
SuperintendentSenior SuperintendentAssistant CommissionerSenior Assistant Commissioner
tanzania-police-current_12.gif
tanzania-police-current_13.gif
tanzania-police-current_14.gif
NAIBU KAMISHINA WA POLISIKAMISHINA WA POLISIINSPEKTA JENERALI WA POLISI
Deputy CommissionerCommissionerInspector General of Police
 
dah! Asanteni sana wakuu. Sisi tuishio uswahili tunakoma sana na jw wenye vs hawa, lazima wachukue mkeo kama huna kitu, yaani hupokea kitu flan katikati ya mwezi, wanakabidhi zote kwa mkeo, lazima akuibie. Dawa pekee ni kuimarisha uchumi. Lkn ukiwafumania wanajua kuomba radhi ni noma kwani ukienda kikosini wanakuwa wadogo sana. Usishangae kumkuta mbabe wako mtaani anatumwa na boss wake. Jeshi hatareeee!
 
Kwa faida yako sio unamwangalia kova alafu ujui yeye ni mtu wa ngapi kutoka kwenye renk za juu.
View attachment 91476

Umenikumbusha askari mmoja maarufu sana kwenye riwaya za Ben R. Mtobwa, alikuwa anaitwa Inspekta Kombora, ni alikuwa ni kiongozi wa maaskari wapelelezi waliofuzu katika kila uwanja wa upelelEzi, wakishirikiana na mecernery Joram Kiango. I loved his work (Inspector Kombora) to the extent that I wished it were mine! Utotoni raha sana, unasoma stori tu, anakufurahisha mtu, halafu unaitamani kazi yake, au una-assume kuichukua kabisa. Inspector Kombora! Kumbe alikuwa aidha ana nyota moja au mbili!
 
Nimekua najiuliza mara kwa mara, ujuzi na muda gani unaotumika kwa askari kupanda cheo kimoja kwenda kingine? Mara nyingi nimekua naona Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Mrakibu Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SSP), Mrakibu wa Polisi na Warakibu Wasaidizi wengi wao ni watu wazima.

Tofauti na TPDF, askari anaweza kuwa na cheo cha Kanali miaka 31 kutokana na elimu yake na nidhamu. Kwanini isiwe kwa jeshi la polisi au ni idara nyeti ambayo vijana hawaaminiki? Au hatua za kupanda cheo ndio zinachukua muda mrefu?

Kiukweli mnapiga kazi wakuu wangu sema mfumo ndo hivyo tena.

Nawasilisha.
 
man of the year

Kwelii mkuuu unajuaa jeshi la polisi lipo kimfumo wa kizamani coz polisi ili upate nyota nilazimaa uwe na zaidi ya miakaa mitatu jeshini hata uwe na elimu ganii..tofauti na kulee watu wanapiga usaili wengine wanaenda mondul afsa cadet moja kwa moja wametoka vyuoniii moja kwa moja.na pia Tpdf MTU mwenye f six anapata nyota mojaa.na bachelor nimbili na kadhalikaaa....af majungu mengii����
 
Last edited by a moderator:
conservative3 wanakumbwa na changamoto zip mkuu maana sijawai kushuudia vijana wanapewa fursa maana hawa wazee wetu wanatoa maamuzi magumu nilishashuudia aki amrisha kijana akamatwe kwa kosa ambalo wangeongea na kuelewana.
 
Last edited by a moderator:
man of the year

yote hii ni tamaa ya kuwa juu bila kufanya kazi, fanya kazi kwa bidii utapanda cheo hata kama una umri gani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nilisema humu kuwa kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu katika majeshi hasa polisi na magereza wengi wakanitukana na kunikejeli kwenda polisi au magereza kwa msomi ni kujichoresha maana utaishi kulinda na kuagizwa kama mbwa.
 
liwaya graduate lazima uwe na reasoning kama sivyo elimu yako utakua haujaitendea haki kwani lengo lenu kuwaitaji si nikwaajili ya kuleta mabadiliko kutokana na mapinduzi yaliyopo sasa tena inakuwa sumu????
 
Last edited by a moderator:
Molembe kuna vijana wengi wana ujuzi wa kuongoza na kufanya kazi kuzuia ghasia mbali mbali ukizingatia umri wa mwalifu na askari utakua unaendana inakua rahisi kusomana na kutoa maamuzi yaliyo sahii bila kuumiza upande wowote,mfano mzuri ni kamanda kova awamu ya kwanza akadai hakuna panya rodi ni uvumi tuu then analudi tena nakutangaza panya rodi karibu mia tano wamekamatwa hiki n nini sasa????(nadhani walivyofika eneo la tukio kila waliomwona anapita ni panya)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom