Vifaa vya Kutengeneza Mikate

E.skillz

Member
Oct 24, 2015
38
36
Kwa kuanza nina mtaji wa 15M. Huku kwetu hakuna mikate Kwa anaejua Machine za Ku tengenezea mpaka kufungia na ziwe kibiashara zaidi anijuze ukubwa na bei tafadhari
 
mkuu kuna uzi kadhaa nimechangia kuusiana na vifaa vya bakery pamoja na sheria za kufata ukitaka kuanzisha hiyo biashara. lkn pia nikijua unatarget soko gani na mkoa unaotaka kuanzisha ningeweza kukusaidia sana kununua vifaa mpaka kuanzisha. kwa pesa yako inaweza kutosha au isitoshe kulimgana na ukubwa wa bakery unayofikiria. karibu 0652 494919
 
Soko la Dar vipi?. Na sheria zipi za kufata funguka Mkuu
 
sheria zinataka uwe na vitu vifuatavyo
1.tin
2.leseni
3.tfda
4.tbs
5.osha

soko dar lipo japo ushindani mkubwa sana
 
mkuu kuna uzi kadhaa nimechangia kuusiana na vifaa vya bakery pamoja na sheria za kufata ukitaka kuanzisha hiyo biashara. lkn pia nikijua unatarget soko gani na mkoa unaotaka kuanzisha ningeweza kukusaidia sana kununua vifaa mpaka kuanzisha. kwa pesa yako inaweza kutosha au isitoshe kulimgana na ukubwa wa bakery unayofikiria. karibu 0652 494919

Vipi kuhusu mashine za kuoka bidhaa za unga wa mhogo?
 
mkuu mwengoso sina uhakika kama kunatofauti ktk hizo mashine za kuoka ila cha msingi ni kujua joto linalotakiwa kwa kile unachooka. nilishaziona za kuoka biscuit za muhogo sikuona tofaut
 
mkuu kuna uzi kadhaa nimechangia kuusiana na vifaa vya bakery pamoja na sheria za kufata ukitaka kuanzisha hiyo biashara. lkn pia nikijua unatarget soko gani na mkoa unaotaka kuanzisha ningeweza kukusaidia sana kununua vifaa mpaka kuanzisha. kwa pesa yako inaweza kutosha au isitoshe kulimgana na ukubwa wa bakery unayofikiria. karibu 0652 494919
Boss nashukuru takupigia unijuze zaidi Mm niko Mara Tarime naitaji kufanya hii business serious
 
ni biashaara ina hitaji usimamizi mkubwa na mashine zake ni gharma kidogo hiyo 15m unaweza pata oven na miver moja, unahitaji oven, mixer ya mkate na ya keki kama utapenda, slicer na freeze nk
 
Kwa vijijini na sera ya viwanda, kuongeza thamani ya mazao, ni budi kuangalia uwezekano wa kuoka kwa unga wa muhogo, zao kuu la chakula na biashara vijijini.

Nitapenda kujua aina za hizo mashine na bei zake, ikiwa pamoja na utengenezaji wa bidhaa za muhogo
 
Boss nashukuru takupigia unijuze zaidi Mm niko Mara Tarime naitaji kufanya hii business serious

kwa 15m inaweza kukupa vifaa vyote vya mikate vyenye uwezo wa kuzalisha mikate 1,000 kwa siku isipokua ishu ya umeme.
1.oven 3.5m
2.mixer 25kg 4m
3.slicer 2m
4.proofer 2m
5.meza ya aluminium 0.4m
6.makopo ya mikate 200@8,000=1.6m
7.legal documents fanya 2m kama utakua umejiunga na sido
jumla kuu 15m
karibu sana mkuu.
 
Kwa kuanza nina mtaji wa 15M. Huku kwetu hakuna mikate Kwa anaejua Machine za Ku tengenezea mpaka kufungia na ziwe kibiashara zaidi anijuze ukubwa na bei tafadhari

Nishawahi kuulizia mashine ya kuwoka mikate complete inauzwa M 11,io ni wewe tu na mtaalam wako na unga..ilikua mwaka juzi sa cjui saiv zitakua bei gan.
 
kwa 15m inaweza kukupa vifaa vyote vya mikate vyenye uwezo wa kuzalisha mikate 1,000 kwa siku isipokua ishu ya umeme.
1.oven 3.5m
2.mixer 25kg 4m
3.slicer 2m
4.proofer 2m
5.meza ya aluminium 0.4m
6.makopo ya mikate 200@8,000=1.6m
7.legal documents fanya 2m kama utakua umejiunga na sido
jumla kuu 15m
karibu sana mkuu.
Hiyo mixer wap naweza ipata
 
Back
Top Bottom