Vifaa Vonavyotisha Mazoezi ya Simba

Vifaa Vonavyotisha Mazoezi ya Simba

nimekusoma vizuri sana hapa............nakumbuka tuliwalengesha kwa Asamoah kupitia kwa Rage
Unajua Simba sasa hivi wanacheza na akili ya mtu mjinga, wanatangaza kusajili hata magalasa ili yanga wayavamie wakijua wanaikomoa Simba, mwisho wa siku wajikute wameshatimiza idadi ya wachezaji wa kigeni, ndiyo maana TFF-YANGA imependekeza idadi ya mapro kuwa saba badala ya tano baada ya kugutuka kuwa wamepigwa sehemu nyeti tayari.

We subiri tu majibu mtayaona hapa hapa.
 
nimekusoma vizuri sana hapa............nakumbuka tuliwalengesha kwa Asamoah kupitia kwa Rage
Waache waendelee kufuata nyayo za Simba tu, wataona umafia wake baadaye, na hapo ndipo bakora zitakapolia Jangwani kama msimu uliopita wakati Rage alipowaambia wamecheza maechi ya kirafiki na Coastal Union hawakuamini mpaka walipopokwa point 3 kwa kuchezesha mmiliki wa straight red card.
 
ni kweli kabisa wafie mbali

adui zetu hawa tunawaombea njaa tu
 
anayeonekana kuvutia sasa ni Ndemla Dembele, hapana shaka atamrithi Mwinyi Kazimoto huyu, ananikumbusha Hussein Marhsa
 
2.jpg
huyu ni beki mpya anayejaribiwa toka Falcon ya Zenji
 
4.jpg
Hapa tunatafuta maisha; Edward Christopher akizungumza na kipa Abuu Hashim kulia wakati wakielekea nyumbani baada ya mazoezi ​
 
1.jpg
alikua mfungaji bora namba 3 Cmaeroon akiwa na magoli 19
 
9.jpg
Hata unune hata ucheke..............Kiemba is the Best for 2012/13
 
Back
Top Bottom