Vifaa Vonavyotisha Mazoezi ya Simba

Vifaa Vonavyotisha Mazoezi ya Simba

Hofu yangu hata akina Akufor, Komabil, na mapro wenzake walipotua Arusha kambini mwaka jana walikuwa wanatisha. Namkumbuka Akuffor alivyokuwa akitupia kila mechi ya kirafiki, nakumbuka aliwahi kupiga bao takribani sita peke yake Simba ikishinda 20-0 mechi ya kirafiki Arusha kabla ya kuanza ligi.

Nakumbuka pia jinsi alivyotua Dar kwa mara ya kwanza kucheza na Sofa paka, Simba ikilaa kwa bao 3, huku yeye huyo huyo asifanye chochote mpaka alipofungashiwa virago.

Tusiwasifu sana tusubiri ukweli utadhihiri mambo yakianza.
 
Mazoezi ya Kinesi vijana wanajituma ili wasajiliwe Simba. Hivi sasa wameacha starehe zote na mawazo yote wameyaelekeza uwanjani ili wapate ajira. Ngoja wasajiliwe wapate mshiko waanze kutembelea Kinondoni usiku watakavyokuwa wanacheza utajaza mwenyewe.

Mkuu naunga mkono hoja.
 
Hofu yangu hata akina Akufor, Komabil, na mapro wenzake walipotua Arusha kambini mwaka jana walikuw awanatisha. Namkumbuka Akuffor alivyokuwa akitupia kila mechi ya kirafiki, nakumbuka aliwahi kupiga bao takribani sita peke yake Simba ikishinda 20-0 mechi ya kirafiki Arusha kabla ya kuanza ligi.

Nakumbuka pia jinsi alivyotua Dar kwa mara ya kwanza kucheza na Sofa paka, Simba ikilaa kwa bao 3, huku yeye huyo huyo asifanye chochote mpaka alipofungashiwa virago.

Tusiwasifu sana kukweli utadhihiri mambo yakianza.
Ni kweli usemacho lakini kwa beki kama Issa Rashid aka baba ubaya hayupo kwenye kundi la kina Akuffor, huyo dogo ni habari nyingine.
 
Grafani ni kweli kabisa hata mm nawaambia baadhi ya mashabiki oale
Hofu yangu hata akina Akufor, Komabil, na mapro wenzake walipotua Arusha kambini mwaka jana walikuw awanatisha. Namkumbuka Akuffor alivyokuwa akitupia kila mechi ya kirafiki, nakumbuka aliwahi kupiga bao takribani sita peke yake Simba ikishinda 20-0 mechi ya kirafiki Arusha kabla ya kuanza ligi.

Nakumbuka pia jinsi alivyotua Dar kwa mara ya kwanza kucheza na Sofa paka, Simba ikilaa kwa bao 3, huku yeye huyo huyo asifanye chochote mpaka alipofungashiwa virago.

Tusiwasifu sana kukweli utadhihiri mambo yakianza.
 
Ni kweli usemacho lakini kwa beki kama Issa Rashid aka baba ubaya hayupo kwenye kundi la kina Akuffor, huyo dogo ni habari nyingine.
hata dogo wa Coastal si haba ila anacheza na jukwaa
 
y6a3yte3.jpg

Vifaa vinatisha.

To move the world we must first move ourselves - Socrates
 
...sasa hawa kandambili bana, mtu anaongelea beki baba Ulaya, hawa wanaongelea AKUFO !! Mbona hamuongelei lile beba mizigo la Camerron ambalo Yebo Yebo walilileta na kuliita Mboma lkn baada ya siku chache likaanza kuuma watu kama Suarez ?
Kabumbu ni yosso tuu, wapate wazuri, watunze na wafundishe mengine yote yatajipa. Na Yosso wa kweli sio kama akina Nsajigwa, njemba ina miaka 55 sasa lkn anaongopa !!!

Wa kuongezea ni wachache sana, endelezeni hao madogo na matunda yataonekana. King aliisuka sana Kagera Stars, hope ataweza kuwasuka na hawa ingawa ningependa sana yule babu arudi amalizie kazi aliyoianza ya kuijenga timu mpya na kuondoa magalasa na wabwiaji wote.. !! Yeye tu ndo kaweza wengine wote hawakuweza maamuzi magumu..

Malengo yawe endelevu sio kushindana na TFF ya Manji, wacha wahonge lkn ipo siku watapigwa na hongo zao..
 
Mkuu,
Simba hahongi? wauulize Azam.
 
Mwanzo kila mchezaji anaonyesha kipaji chake,baadae starehe,ushirikina na magazeti yanaondoa UWEZO wa mchezaji uwanjani.

wachezaji wanaoendelezwa na kukuzwa na klabu ndio wanaoweza kuleta mabadiliko.
 
Huyo Messi niliwahi kumuona akiwa Coastal Union. Ni fundi sana, na kocha wa Stars akimuona kwenye mechi mbili au tatu lazima amuite kikosini.
 
Kabla ya mechi yenu ya kufunga dimba la ligi kuu dhidi ya Yanga mliyopigwa 2-0 mlikuwa mnachonga saana kuhusu ubora wa kikosi chenu kama ulivyoandika hapo juu.

Msije kumlaumu Rage pekee halafu!
Hiyo ilikua ni Tisha Toto tu
 
Huyo Messi niliwahi kumuona akiwa Coastal Union. Ni fundi sana, na kocha wa Stars akimuona kwenye mechi mbili au tatu lazima amuite kikosini.
alisumbua sana lakn BAHATI MBAYA KUITWA TIMU YA TAIFA HADI USAJILIWE SIMBA, YANGA, AZAM, na ukibahatisha sana MTIBWA
 
Kuna vijana wengine wawili wanakuja juu kwa kasi

  1. Ndemla..........alikua majaribio Ujemrumani ni midfiekd ya ukweli, hapotezi pasi, na mtakuja kiniambia hii ni nyota ya alfajiri katika sika la Tz na namfananisha na Marsha H.
  2. Laban Kambole hiki ni kitasa toka Kagera Sugar, ana vitu vingi kama beki japo anahitaji kasi kdg
  3. Andrew Ntala kipa mrefu sana toka Kagera anahitaji mazoezi sana, watu hawajui siri ya KJ ni kujituma sana mazoezini na hana anasa
  4. Huyu bekia anayeitwa kiboko ya Ngassa anahitaji kujifua sana namuona wa kawaida
  5. Tall wa African Lyopn ni hatari
  6. Obina namfananisha na Keita, atulie ni mzuri
 
Ni kweli usemacho lakini kwa beki kama Issa Rashid aka baba ubaya hayupo kwenye kundi la kina Akuffor, huyo dogo ni habari nyingine.
Kama wadau tumepokea taarifa na tunasubiri kwa hamu tuone makali yake.
 
alisumbua sana lakn BAHATI MBAYA KUITWA TIMU YA TAIFA HADI USAJILIWE SIMBA, YANGA, AZAM, na ukibahatisha sana MTIBWA
Simba ina sifa ya ziada ya kuwa njia panda ya mafanikio ya wachezaji wa Kibongo kuelekea umilionea kama sio ubilionea. mfano. Samatta, Okwi etc.
 
Back
Top Bottom