Simba ina sifa ya ziada ya kuwa njia panda ya mafanikio ya wachezaji wa Kibongo kuelekea umilionea kama sio ubilionea. mfano. Samatta, Okwi etc.
wewe ndio waulize PCCB kama kuna aliyepatikana na tuhuma
...kwahiyo ndo maana Yanga mnahonga na kutibua mipango mizuri ya Simba inayokua imejiwekea through out the season!.Mkuu,
Simba hahongi? wauulize Azam.
Ni kweli:
(1) Fedha ya Okwi tayari imeingia kwenye akaunti ya Simba.
(2) Jengo la Simba limekarabatiwa na kufikia ghorofa 20.
(3) Uwanja wa Simba Arena umekamilika na utafunguliwa na Hassan Dalali.
Simba oyeee!
kawaida yenu Yebo........lakini nadhani tunaongea lugha moja hapa ingawa hatuelewani, hao wachezaji wa Azam uliodai Simba iliwahonga PCCB haikuwakuta na tuhuma zozote........rejea ujumbe wako wa awaliHivi PCCB, wameisha mfunga nani ? Leta takwimu na wala usilete mambo ya kuwaza kwa kutumia masaburi
Mwisho wa siku historia na ukweli utabaki pale pale kuwa ni Simba tu ambayo inaongoza kuuza players nje na wakapata mafanikio (hata kama huyu mshirika wa Kinana atakwapua fweza za mauzo ) ! Nina uhakika kuwa kama wengine tulivyolilia miaka mingi kusajili yosso na kuwatunza (akina bekham, giggs, Fabregas, Messi n.k hawakuanza wakiwa na miaka 30) tutaweza kufika mbali sana.
Ndiyo maana namfagilia babu, eti sijui Ngasa kapewa gari, la nini huyo kijeba ambaye ni changu tuu na mijimama ishammaliza ? Wanunulie hao watoto hata bajaji wafanyie biashara uone kama hatuchezi fainali za Africa ! Fikiria hao akina Chonongo, miaka 3-4 ijayo kama akiendelea ? Babu kawajenga na kuwapa boost kubwa sana kisaikolojia ambayo nina uhakika itawasaidia sana ktk maisha yao ya soka.
Sasa hawa wezi wa TFF nao wangekuwa kama enzi zileee za akina El mamry za 80s kila mwaka wanaleta timu moja/mbili kubwa ya ulaya na kucheza mechi za kirafiki ingesaidia sana kupata uzoefu wa kimataifa badala ya kuwa tunashindwa hata na nchi zinazopigana vita miaka nenda rudi !
Baba mwenye busara atatumia kila alichonacho kuwekeza ili kumfanya mwanae afanikiwe hata kama yeye mwenyewe atabakia maskini, tofauti na libaba sharobaro linalotangaza neema kwa MACD nje kama Ngasa wakati wanae nyumbani wana-starve.Ni kweli:
(1) Fedha ya Okwi tayari imeingia kwenye akaunti ya Simba.
(2) Jengo la Simba limekarabatiwa na kufikia ghorofa 20.
(3) Uwanja wa Simba Arena umekamilika na utafunguliwa na Hassan Dalali.
Simba oyeee!
Baba mwenye busara atatumia kila alichonacho kuwekeza ili kumfanya mwanae afanikiwe hata kama yeye mwenyewe atabakia maskini, tofauti na libaba sharobaro linalotangaza neema kwa MACD nje kama Ngasa wakati wanae nyumbani wana-starve.
Hakua ubishi kuwa hakuna mwanasoka bongo mwenye umate mate kama Samatta, Baba yake ni nani? jibu mwenyewe.
Nasikia Yanga wamenyakua
Oyeeeeeee 1 billion times.Simba oyeee
Tena mwanamke mwenyewe wa pale kwa danguro la Sokota alipowafuma mkuu Secret wakijiuza mchana kweupe. Kabaang Tsh 20,000/= bila chenga.Hao yanga watasajiri wachezaji wangapi wa kigeni? Kila mchezaji wanataka kumsajili, wamekuwa Kama mwanamke Malaya ?
Unajua Simba sasa hivi wanacheza na akili ya mtu mjinga, wanatangaza kusajili hata magalasa ili yanga wayavamie wakijua wanaikomoa Simba, mwisho wa siku wajikute wameshatimiza idadi ya wachezaji wa kigeni, ndiyo maana TFF-YANGA imependekeza idadi ya mapro kuwa saba badala ya tano baada ya kugutuka kuwa wamepigwa sehemu nyeti tayari.Nasikia Yanga wamenyakua
Timu ya Serikali hii, tuliweka wachezaji mwisho kusajili watano na kuchezesha watatu lakn wenzetu wakafuture wote watano uwanjani na sheria ikapindishwa, kwa hili sitashangaa pia, huyu atakua wa 8, lakn nasikia Kavumbago anatolewa M-kopoHao yanga watasajiri wachezaji wangapi wa kigeni? Kila mchezaji wanataka kumsajili, wamekuwa Kama mwanamke Malaya ?