Hii thread ipo kimbagala sana duh!
wewe unatimiza yote?wote ni umalaya tu si kwa hicho muitacho kidumu au nyumba ndogo timiza wajibu wako kwenye ndoa yako..
Vife ili tufaidi mapenzi ya ukweliTeh teh teh. Ama kweli VIDUMU VIGUMU.
Honestly vidumu vina manufaa sana!Ndo ikianza kuvuja unaipeleka kuchomewa huku unaendelea na kidumu chako...kwa vile maji ni uhai wa maisha inabidi uwe na chombo kingine chakuyapatia just incase kile kikubwa kikiwa hakipo either kwasababu kimeazimwa...hukitaki tena au kimeharibika.
Kuhusu matumizi na matunzo kuna unafuu tofauti na nyumba ndogo kwa wanaume au ndoo kwa wanawake.Imagine ukubwa wa ndoo...ukiweka maji nusu itapepesuka kichwani...ukijaza italemea!Ila kidumu hata wa mkono unabeba!!
Umeelezea vizuri sana sina haja ya kuongezea
hahahahahahaha duh we umefunika kabisa, anaoga anaoogelea na asipofanya yote atakuja kuvuka tu kwendaa upande wa pili
Kingine? Bora kisado.lol,hii kali.....na mie natafuta kidumu jamani.......:glasses-nerdy:
Honestly vidumu vina manufaa sana!Ndo ikianza kuvuja unaipeleka kuchomewa huku unaendelea na kidumu chako...kwa vile maji ni uhai wa maisha inabidi uwe na chombo kingine chakuyapatia just incase kile kikubwa kikiwa hakipo either kwasababu kimeazimwa...hukitaki tena au kimeharibika.
Kuhusu matumizi na matunzo kuna unafuu tofauti na nyumba ndogo kwa wanaume au ndoo kwa wanawake.Imagine ukubwa wa ndoo...ukiweka maji nusu itapepesuka kichwani...ukijaza italemea!Ila kidumu hata wa mkono unabeba!!
hahahaha Lizzy
siamini kama haya yametoka kwako :smiling:
Naona.Honestly vidumu vina manufaa sana!Ndo ikianza kuvuja unaipeleka kuchomewa huku unaendelea na kidumu chako...kwa vile maji ni uhai wa maisha inabidi uwe na chombo kingine chakuyapatia just incase kile kikubwa kikiwa hakipo either kwasababu kimeazimwa...hukitaki tena au kimeharibika.
Kuhusu matumizi na matunzo kuna unafuu tofauti na nyumba ndogo kwa wanaume au "ndoo" kwa wanawake.Imagine ukubwa wa ndoo...ukiweka maji nusu itapepesuka kichwani...ukijaza italemea!Ila kidumu hata wa mkono unabeba!!