Vidumu ni vitu gani hasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vidumu ni vitu gani hasa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 1, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikisikia mara kwa mara "nina kidumu" au mdada anajisifia "kidumu chake" kiko hivi au vile. Mwanzoni nilifikiria wanazungumzia vile ambavyo si "galoni". Lakini siku za karibuni vidumu vimezidi kupata nafasi kubwa katika maisha ya baadhi ya kina dada na naambiwa vinalingana na kile ambacho wanaume wanakiita "nyumba ndogo".
  Je kuna ulingano katika upatikanaji, matumizi na matunzo? Kidumu chaweza kufanywa kuwa galoni kama vile nyumba ndogo yaweza kuwa "big house"? Au vidumu kwa kawaida hubakia kuwa vidumu. Hili ni swali kwa wale ambao "rafiki" zao wana vigumu, wamewahi kuwa na vidumu au wana mpango wa kuwa na vidumu kwa matumizi ya "dharura".

  Vidumu huwa vinadumu kweli au ni vigumu kudumu?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Honestly vidumu vina manufaa sana!Ndo ikianza kuvuja unaipeleka kuchomewa huku unaendelea na kidumu chako...kwa vile maji ni uhai wa maisha inabidi uwe na chombo kingine chakuyapatia just incase kile kikubwa kikiwa hakipo either kwasababu kimeazimwa...hukitaki tena au kimeharibika.

  Kuhusu matumizi na matunzo kuna unafuu tofauti na nyumba ndogo kwa wanaume au “ndoo“ kwa wanawake.Imagine ukubwa wa ndoo...ukiweka maji nusu itapepesuka kichwani...ukijaza italemea!Ila kidumu hata wa mkono unabeba!!
   
 3. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umeelezea vizuri sana sina haja ya kuongezea
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hheheeh...ongeza bwana maana naona wengine wamesusa!
   
 5. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kidumu kina raha na karaha yake hasa pale unapoenda bafuni kuoga kinakuwa hakitoshi unatoka bafuni na mapovu kichwani ila ukiwa na ndoo yako kubwa akuuuu unaoga kwa raha zako
   
 6. M

  Makfuhi Senior Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kidumu kinafanya kazi ndoo inaposhindwa kukamilisha kazi iliyoianza. mfano unaoga kwa bahati mbaya maji ya ndoo yakamwagika; kidumu kitasaidia kuondoa povu.
  ndoo inabebwa kichwani kidumu mkononi kwa hiyo uwezekano wa maji ya ndoo kumwagika ni mkubwa kuliko kidumu.
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mhh, wadada mna mambo....kwa bahat mbaya mm ndo mto wenyewe, tena siyo seasonal. wangu hahtaj kidum wala kijiko anaogelea atakavyo na hana haja ya kuhfadh maji pemben
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  Mi nilifikiri kidumu yule msanii wa Burundi!!!
   
 9. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,078
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  ukimwi utatuua wengi. coz nyumba nyummba ndogo plus kidumu on the other side afu fikiria chain yake inakuwaje. unaweza shangaa inafika mpka kwa binamu yako then inarudi mpaka kwa mamdogo wako. tumekwishaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahahahahahaha duh we umefunika kabisa, anaoga anaoogelea na asipofanya yote atakuja kuvuka tu kwendaa upande wa pili
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  :biggrin1::biggrin1: yaani kuna vikopo, vidumu , Ndoo na Pipa mpaka tanki.....we mdada jiangalie wapi panafaa....:biggrin1::biggrin1: angalia usijeota matuta kwenye misuli ya shingo na mikono ukawa kama baunsa hutamaniki :biggrin1::biggrin1: wakati wenzako wanatumia matanki full kimiminika walaaaiiiniiii :biggrin1::A S-rose::tonguez:
   
 12. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu ukifikiria hizi cheni inatisha!huwa sipendi hata kutafakari juu ya hilo sana,ukweli wanawake nao kwa sasa wanatamba na vidumu! Iwe ana stress au hana ili mradi ni hulka ya mtu,lkn kama si hulka yake mwanamke mpaka awe na kidumu ujue kuna pengo anaziba ambalo yule alie nae hajafanikisha,vidumu huwa si sawa na nyumba ndogo za wanaume kny matumizi labda ikute mwanamke mwenyewe ni sugar mamy ndo kidumu kitahudumiwa kama small house za wanaume
   
 13. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kaka usiusemee Moyo.......!ukiona mwenzio ananyolewa tia maji.......
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

  wanawake wa siku hizi hawana haya......kabisaaa
   
 15. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kidumu ni chombo ambacho unaweza kuweka maji kiasi kama lita tatu hivi au zaidi.
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hivi ili kiwe kidumu, je ni lazima kiwe na rangi ya blue, njano, nyeupe, ama nyeusi??
  Hivi ili kiwe kidumu, je ni lazima kiwe na ujazo mdogo kuliko ule wa ndoo??
  Hivi ili kiwe kidumu, je ni lazima kiwe cha plastic na si cha udongo wala chuma??
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Vidumu ni mipango ya pembeni.
  Huwa vinadumu kutegemea na namna mnavyoishi hasa pale kidumu anapojijua yeye ni kidumu.
  Ubaya ni kwamba vidumu vingi havitaki kujikubali vinataka wao ndio wamiliki hivyo kujifanya wana kauli kuliko wenye mali.
  Vinasaidia pale mdada anapokuwa hayupo katika situation nzuri ya kimahusiano na mpenzi wake na ni katika kipindi hicho hicho kidumu ana nafasi kubwa ya kumiliki jumla.
  Nafikiri ni vizuri kuridhika na mpnzi mmoja maana ukianza na kidumu kimoja utataka kingine mwishoni uwe na msururu wa vidumu hata ndoo uisahau.
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Halafu nadhani ni jambo rahisi kubeba vidumu viwili kila mkono kwa wakati mmoja kuliko ndoo mbili, well, unless wewe ni Power Mabula!!
   
 19. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  unaguna nini mkubwa? Si bora wamewaweka wazi!
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mhhhhhhhhh???????
   
Loading...