vidonge vya folic acid

hongera kwa kuwa mama mtarajiwa, kama vinakukera kumeza we twanga tembele na juisi ya rosela ndo mbadala wake
 
naombeni kuuliza unameza vingapi kwa siku
nimepewa hosptal sijaandikiwa kipimo

Rudi kwa daktari wako akushauri. Naamini dawa kwa ujumla wake hutolewa kulingana na tatizo alilonalo mtu, uzito wake, umri, nk so ni vyema unapopewa dawa yoyote ile, kama hakuna maelezo ya kutosha ni bora urudi kwa Dr wako akusaidie kuliko kupata mawazo kwa baadhi ya watu wasio na taalum sahihi ya udaktari.
 
Muulize Dr na lazima ujue hizo ni dawa za gauti na uki over dose unaweza kupata matatizo ya figo. Punguza vyakula vya nyama visivyoiva na fanya mazoezi hata kama ya kutembea. Kula kuku zaidi na samaki achana na nyama kabisa kwa muda. Bila kufanya mabadiliko utakufa kijana huku ugaibuni mfano hakuna gauti sana ni kwa wazee tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom