Videos: Mzee wa Upako anazeeka vibaya

Videos: Mzee wa Upako anazeeka vibaya

Sifikirii kama kuywa pombe ni dhambii ze mambo utakayo yafanya baada ya kudrink pombe yakiwa mabaya wewe ndio utaesabika kama muovu mbingu haita justfy kwamba ni pombe tu izo kama wanadamu wenzio

bender
 
Halafu kuna watu bado wanaamini huyu bwana ni kiongozi wao wa kiroho...I don't think so
Hakuna Mtu aliyewahi kuhesabiwa haki kwa Matendo yake katika Dunia hii; Matendo yote tunayofanya ni kwa ajili ya Ustawi Mzuri wa sisi na tunaoishi nao Duniani; Tangu mwanzo Mungu ni wa Rehema nyingi mno. Ukiamini tu kuwa Jesus is the Christ and Believe the Gospel you are served. Kwa waamini wa Neno hakuna Shida hapo, ila Kwa wasioamini Ndio changamoto hapo.

Changamoto iliyopo Leo, waamini wengi sana wamefundishwa kwamba Wanaokolewa kwa kadiri ya Matendo yao(Amri kumi and Etc) Kwa wasomaji wa kina wa Bible watafahamu kwamba English imetofautisha SIN(as of Nature) and SINS(As of Act) ni mambo mawili tofauti, SINS Yesu alishailipia Tayari kadiri mwamini anavyofundishwa kweli za Yesu SINS si relevant, Ili ifikie hapo inabidi mtu asiwe na SIN(Believing in Christ and what He has done).

Kiswahili kimeshindwa kutofautisha, inaita kila Kitu Dhambi pasi na kutofautisha; Nasikitika hakuna watumishi wakuwafundisha watu kweli hasa on the Finished Work of Christ.
 
Back
Top Bottom