Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,660
- 140,283
Huyu mzee atafutiwe wataalam wa ushauri nasaha,naona kama kichwa chake hakiko sawa.
Ofcoz ni mnywaji mzuri sana wa pombe kali.Mbona kama kalewa?
Imani ni kitu cha ajabu sana, usiporuhusu matumizi ya akili unakuwa kama umefumbwaHalafu kuna watu bado wanaamini huyu bwana ni kiongozi wao wa kiroho...I don't think so
View attachment 1453063
View attachment 1453064
Huyu mzee atafutiwe wataalam wa ushauri nasaha,naona kama kichwa chake hakiko sawa.
Et pombe starehe za watu ila huyu dingi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi katika kanisa naloamini ni SDA tu! Ila hawa wengine mtihani!Hawa wachungaji fake behind the scene wanafanya mambo ya ajabu sana,kwa mfano huyo zee la upako ni levi kupindukia,ukija kwa mwingira lizinzi sana mpaka kufikia kumtafuna mke wa muamini wake,ukija kwa gwaji ndio balaa anatfuna kondoo wake tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]konyagi ikipenya haiongopiView attachment 1453063
View attachment 1453064
Huyu mzee atafutiwe wataalam wa ushauri nasaha,naona kama kichwa chake hakiko sawa.