Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,524
- 5,859
Katika vitu ambayo sivipendi basi ni kuishi na mifugo ndani ya nyumbaYaah, ilibidi aache kale ka uwanja ka basketball tu. Pembeni aweke mibanda ya kuku. Ila ndio hivyo kila mtu na mawazo yake. All in all kajitahidi sana. Waweke mambo yao Kisheria vizuri tu. Sio baadae watuletee mambo ya Joyce kiria na mme wake KAMANDA KITONGA.