VIDEO: Zamaradi aonyesha White house yake na mume wake

Yaah, ilibidi aache kale ka uwanja ka basketball tu. Pembeni aweke mibanda ya kuku. Ila ndio hivyo kila mtu na mawazo yake. All in all kajitahidi sana. Waweke mambo yao Kisheria vizuri tu. Sio baadae watuletee mambo ya Joyce kiria na mme wake KAMANDA KITONGA.
Ngoja bavicha waje
 
Nyumba nzuri ila mbwembwe za maswiming pool ya nini.? Piga banda la kuku walau wa kula nyumbani na wa kujifunzia ujasiriamali watoto. Au unapiga bustani ya maua/mbogamboga.

Amejitahidi Zamaradi na mume wake

Mkuu siyo kila mtu anawaza kufuga au kulima bustani ya mboga au kufanya biashara. Unajuaje kama hana hiyo bustani sehemu nyingine?? Unajua wewe mawazo yako yana-reflect uwezo wako wa kiuchumi. Ndo maana unaona swimming pool ni mbembwe. Wallah ungekuwa na uwezo hata mawazo yako kwenye hili bandiko yangekuwa tofauti. Hauna tofauti na yule anayeendesha Vitz akiona mwenzake anasukuma BMW au VW anajifariji kwamba wote wana magari! Deep down reality anaijua. Ukitaka kuishi vizuri....daima kubali hali yako. Na wale waliokuzidi kipato wapongeze kwa mafanikio yao.

Haya maisha hayataki hasira Mkuu. Pambana na hali yako.
 
tiiaraeiii wataenda kumuuliza kwanini haishi kama shetani
 
9766ab6abc2a1bff617c51045ed515cb.jpg
f5b23f937a5bbee35476d76d7960705e.jpg
 
Mkuu siyo kila mtu anawaza kufuga au kulima bustani ya mboga au kufanya biashara. Unajuaje kama hana hiyo bustani sehemu nyingine?? Unajua wewe mawazo yako yana-reflect uwezo wako wa kiuchumi. Ndo maana unaona swimming pool ni mbembwe. Wallah ungekuwa na uwezo hata mawazo yako kwenye hili bandiko yangekuwa tofauti. Hauna tofauti na yule anayeendesha Vitz akiona mwenzake anasukuma BMW au VW anajifariji kwamba wote wana magari! Deep down reality anaijua. Ukitaka kuishi vizuri....daima kubali hali yako. Na wale waliokuzidi kipato wapongeze kwa mafanikio yao.

Haya maisha hayataki hasira Mkuu. Pambana na hali yako.
Hahahaaa.. Umeni judge kwa comment yangu. Niliyotoa ni maoni yangu na ni kama priorities zangu nikiwa kwangu na nilifundishwa toka niko young. Sasa wewe ukaamua kunikosoa ukavuka na mipaka ukaamua kunijudge..!! Its ok na wewe umetoa maoni yako.
 
Samahani bro. Sijakujaji na wala hilo halikuwa lengo langu. Nilitaka tuu kuonyesha kwamba kuweka swimming pool siyo mbwembwe. Again kila mtu ana priorities zake kama ulivyosema.

Apologies kama nimekukwaza Kiongozi. Pamoja sana!
 
Yule mtangazaji wa clouds fm aliekua na mke wa boss wa clouds ameonysha mjengo wake ambao haujakamilika akiuita small whitehouse, ikiwa half court ya basketball na swimming pool likiwa linajengwa. Big up kwake
Nani kakuambia hiyo nyumba ni ya zamaradi?
 
Uchafu umekuwa sehemu iliyokubalika ya utamaduni wetu kiasi kwamba hata mtu anapotaka kupiga picha ya kuonesha dunia nzima nyumba yake, hajali hata kufanya usafi kidogo tu.

Hapo nje makorokoro hayo yamekubalika kabisa kwamba ni poa tu yawepo hapo kama sehemu ya asili ya nyumba hiyo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom