Video: Yanga....

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735

ANGALIA YANGA ALIVYO CHEZEA KICHAPO...
 
Last edited by a moderator:

kAZI KWELI KWELI...
 
Last edited by a moderator:

kIPIGO HIKI NDICHO WAMEFANIKIWA KULIPA KISASI...
 
Last edited by a moderator:
wamechukua kombe nimeamua kuwa kumbusha kuwa tuna wadai goli 5...

Hizo ni statistics mtoto....

Hebu check hapa chini....

Total matches played: 174
Yanga wins: 79
Simba wins: 73
Drawn: 22
Yanga inaidai Simba mechi 6 (i.e Simba inahitaji mechi 6 kuifikia record hii!!)

Country championship trophies:
Yanga: 23
Simba: 18
Yanga inaidai Simba trophies 5 (Simba inahitaji miaka 5 kuifikia record hii!)

Cecafa championship trophies:
Yanga: 5
Simba: 6
Yanga inadaiwa na Simba trophy 1 (i.e Yanga inahitaji mwaka mmoja TU kuifikia record hii ambayo ni mwaka kesho!)

Hapa bahati mbaya sina stats za jumla ya magoli...nikipata unaweza kukuta Yanga iko juu ya Simba! Subiri...

So, hicho ki-record chenu cha 5-0 tunaweza kukivunja kwenye mchezo mmoja tu!
 
Leo mnangaika kama mmepakwa ***** mwili mzima, hela ya kununua penat hamna tena,. Mnatia huruma hadi mmeamua kula lambilambi ya mafisango
 
ANGALIA YANGA ALIVYO CHEZEA KICHAPO...

Kijana unaonyesha ni jinsi gani ulivyo nyuma kiushabiki yaani hizo goli 5 umeona ni matangazo na kitu cha ajabu kwako. Man U ilipigwa 6 na Man city, Arsenal ilipigwa 8 na Man U lakini bado ni timu bora duniani, iweje wewe usiyejua soka unarudia record za magoli na wala hujui record za jumla za timu hizi pinzani. Timu yako Kagame imecheza chini ya kiwango na una bahati mlikuwa mpigwe 10 kama mngeingia fainali..timu mbovu kabisa mnatimua wachezaji ovyo..subirini kichapo kwenye ligi kuu...Mtaijua Yanga vizuri nyinyi mabingwa wa kombe la kinesi.
 
Last edited by a moderator:
Aibu ya mwaka kuja na rekodi za zamani shukuru mungu hukufika fainali ulikuwa ule 8.
Azam waliniuzi kweli.
 
Hizo ni statistics mtoto....

Hebu check hapa chini....

Total matches played: 174
Yanga wins: 79
Simba wins: 73
Drawn: 22
Yanga inaidai Simba mechi 6 (i.e Simba inahitaji mechi 6 kuifikia record hii!!)

Country championship trophies:
Yanga: 23
Simba: 18
Yanga inaidai Simba trophies 5 (Simba inahitaji miaka 5 kuifikia record hii!)

Cecafa championship trophies:
Yanga: 5
Simba: 6
Yanga inadaiwa na Simba trophy 1 (i.e Yanga inahitaji mwaka mmoja TU kuifikia record hii ambayo ni mwaka kesho!)

Hapa bahati mbaya sina stats za jumla ya magoli...nikipata unaweza kukuta Yanga iko juu ya Simba! Subiri...

So, hicho ki-record chenu cha 5-0 tunaweza kukivunja kwenye mchezo mmoja tu!

Kuna nyingine ya goli 6-0, hii nayo mtaifikia lini...
 
Kijana unaonyesha ni jinsi gani ulivyo nyuma kiushabiki yaani hizo goli 5 umeona ni matangazo na kitu cha ajabu kwako. Man U ilipigwa 6 na Man city, Arsenal ilipigwa 8 na Man U lakini bado ni timu bora duniani, iweje wewe usiyejua soka unarudia record za magoli na wala hujui record za jumla za timu hizi pinzani. Timu yako Kagame imecheza chini ya kiwango na una bahati mlikuwa mpigwe 10 kama mngeingia fainali..timu mbovu kabisa mnatimua wachezaji ovyo..subirini kichapo kwenye ligi kuu...Mtaijua Yanga vizuri nyinyi mabingwa wa kombe la kinesi.
Usiniambie mambo ya manu maana hata siijui...issue ni kwamba ulikula vitano uko hapo...Juzi tumefungwa na Azam mmeongea kama wa mama wa kiswahili mmesahau kuwa tuna wadai 6-0, 5-0....unanilitea mambo ya MAN U kama tuna bahati sisi tulikuwa tupigwe kumi wewe ulikuwa upigwe nagapi na simba...
 
unaongea na timu ambayo hata nusu haikufika yaani ni kama unalinganisha Man city na Leeds united?
 
Hivi Simba kuna wachezaji ama wacheza taarabu? cecafa walikuwa wanakata mauno tu boko akawabokoa 3
wakashindane na majimaji
 
Yanga hamta panda ndege labda mpaka mwaka 2014 labda mpande mkiwa mnaenda kagera kucheza na Kagera sugar...hahahahah
 
Hivi Simba kuna wachezaji ama wacheza taarabu? cecafa walikuwa wanakata mauno tu boko akawabokoa 3
wakashindane na majimaji
Kwanza uwe na adabu unapokuwa unaiongelea Bingwa wa Tanzania Bara( Simba SC). maana tunasubiria ratiba kwenda kucheza na timu za maana baraniAfrika na siyo polisi moro kama mlivyo yanga...SImba na Azam wako level ya juu sana huwezi ninganisha na yebo yebo...
 
bingwa wa Tanzania na bingwa wa Africa mashariki na kati wapi na wapi...simba Taarabu mtupu ni kama unaongelea Jay Z na mzee yusuf
 
Kuna nyingine ya goli 6-0, hii nayo mtaifikia lini...

Bado ni record ya kitoto hii.
Hebu angalia hizi hapa chini za kufa mtu...
Total matches played: 174
Yanga wins: 79
Simba wins: 73
Drawn: 22
Yanga inaidai Simba mechi 6 (i.e Simba inahitaji mechi 6 kuifikia record hii!!)

Country championship trophies:
Yanga: 23
Simba: 18
Yanga inaidai Simba trophies 5 (Simba inahitaji miaka 5 kuifikia record hii!)

Cecafa championship trophies:
Yanga: 5
Simba: 6
Yanga inadaiwa na Simba trophy 1 (i.e Yanga inahitaji mwaka mmoja TU kuifikia record hii ambayo ni mwaka kesho!)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom