Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 349
[media]http://uk.youtube.com/watch?v=geQrt1LDvu8[/media]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Well said Rwabu and I dont think it will cost the Government any money to stop these kids from doing it but why should they be concerned? None of their kids goes down there!Na kinachonishangaza zaidi vyombo vyetu vya habari kama havioni haya mambo, did we really need to wait for wazungus to make this video for us?Hii historia ita tuhukumu jamani!!!
Hapo fisadi wana nunua magari ya mamilioni ambayo kila siku hutembea mwendo wa kono kono kuwatoa kwenye mahekalu yao mikocheni, beach na masaki kuwapeleka kwenye ofisi zao mjini!, badala hizo hela zisaidie watoto kama hawa!! jamani!
Wanaona ni halali wapokee 10% na kugawa raslimali za nchi yetu bureeee kwa wageni, wakati watoto kama hawa wapo wanataabika!
Jana nilikua namuonyesha sister mmoja hii video, machozi yakaanza kumtoka, kumbe nilimgusa bapaya, akaanza kukumbuka watoto wake aliowaacha bongo, noma!Do inasikitisha kweli- kama hali halisi ilivyo!