Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Binti alikuwa hajalewa, alikuwa mzima kabisa na anaelewa nini anafanya na ndomana baada ya kujua akaendelea kucheza.
kuchukuliwa kwake alipigwa ofa za vinywaji sasa itakwaje hajalewa

Kwa umalaya ule lazima azae watoto wa kike...
Watoto wa kiume wanataka mbegu zilizokomaa...
Zake zitakomaa saa ngapi na kutwa anamwaga
ndo mimi, kwani unaijua ID yake ya jf? lol
Ngoje ni msubiri na Dinazarde
Kwa umalaya ule lazima azae watoto wa kike...
Watoto wa kiume wanataka mbegu zilizokomaa...
Zake zitakomaa saa ngapi na kutwa anamwaga
Leo kuna mtu kanitumia video ya binti akicheza wimbo wa yamoto akiwa uchi huku akirekodiwa na mpenzi wake, binti alishtuka akamwambia mpenzi wake anamrekodi jamaa akasema ni kwa ajili yake
Nimetafakari na kujiuliza hivi nyie wadada hao wanaume wanaowarekodi na kusambaza video zenu mnawatoa wapi? hivi kwanini msidate na wanaume baadala ya hivyo vivulana vilivyokasa maadili.
kuchukuliwa kwake alipigwa ofa za vinywaji sasa itakwaje hajalewa
Na wanawake sie tuna kiranga.
Hivi mwanaume mchafu kama huyo akutongoze umkubali kabisa na habari zake zilivyozagaa unakua unatafuta nini?
Ila atakutanaga tu na wajanja zaidi yake, atakimbia nchi kama rafiki yule rafiki wa Msofe.
Leo kuna mtu kanitumia video ya binti akicheza wimbo wa yamoto akiwa uchi huku akirekodiwa na mpenzi wake, binti alishtuka akamwambia mpenzi wake anamrekodi jamaa akasema ni kwa ajili yake
Nimetafakari na kujiuliza hivi nyie wadada hao wanaume wanaowarekodi na kusambaza video zenu mnawatoa wapi? hivi kwanini msidate na wanaume baadala ya hivyo vivulana vilivyokasa maadili.
Kumbe one night stand hiyo? Ndo anamchezea vile? Kweli mwanamke kujiamini.....
limetoka Dubai Jana nikashangaalilivyovyaaa nachokakuona pichayakehuku lohHalaf amekaa kipunga huyu Rummy
NahukupiaNitakupiem mkuu unitumie hayo mambo cjaiona hakyanani
limetoka Dubai Jana nikashangaalilivyovyaaa nachokakuona pichayakehuku loh
Nahukupia
Naitaji link MKUU bundle juuyanguMkuu hiyo video unayo au waihitaji pia,?