kweli kabisa..tunahesabika
Wanaume kama wewe wachacheee
Wanaume kama wewe wachacheee
Curiosity killed the cat , watafanya tu.Mie sina mdogo wangu.
Huwa zikikoseaga njia kuja kwangu nawaita wadogo zangu ( maana nina wadogo 5 wa kike) nawaonesha nawahubiria nafuta.
So hata zinapoanziaga mitandaoni sijuagi.
Curiosity killed the cat , watafanya tu.
Mwongozo mheshimiwa spika (@invisible ), link kama hizi zinaruhusiwa?
duh hiyo ya mke wa mtu na mchepuko sikuipata!!
Kama nakuona mishipa imesimama na suruali imetuna hapo mbele nakushauri fungua zipu kabisa usije kuichana make kalio la huyo binti mweh!!!
Mwongozo mheshimiwa spika (moderator ), link kama hizi zinaruhusiwa?
Waache warekodiwe tu na zisambazwe watu gani hawatak kubadilika, wewe uko na mpenzi wako unakuta badala kushughulikiana yeye anahamgaika na simu bado unakodoa macho tuuuu nahisi wengine wanasema wenyewe wakiona zimesambaa sana ndo wanajishauaa
Kama nakuona mishipa imesimama na suruali imetuna hapo mbele nakushauri fungua zipu kabisa usije kuichana make kalio la huyo binti mweh!!!
Video + haya maneno yako = puchu ilichukua nafasi yake
acha unoko bwana hutaki wenzio nao wasuuze macho kwenye ule mlima wa yule binti
Kazi kweli. Halafu wadada wengi wanapenda sana haka kamchezo. Thank God wengine tuna staha zetu, siwezi hata siku moja nikamdhalilisha mwanamke niliyewahi kuona utupu wake ati kisa kumkomoa.....!
Mwongozo mheshimiwa spika (moderator ), link kama hizi zinaruhusiwa?
Kwani nawe ulishafanya?