Tembelea <www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com> uone live video ya MR2, Mheshimiwa Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini akiwa jukwaaani Jumamosi 1 June 1996.
Nimeipenda hiyo video. Jamaa kaanza harakati za kisiasa siku nyingi sana, kama unakumbuka albamu yake ya DEIWAKA, kuna wimbo unaitwa 'Barua kwa raisi', kielezea masuala mbalimbali yahusuyo mustakabali wa nchi, na mengine mengi. Hongera sana Mr Sugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.