Video ya MR2 akiwa Mnazi Mmoja 1996

Ahsante sana....
Kipindi hicho hamna cha "wafu fm" wala ujinga ujinga wa hizi fm redio kama siv!
It was so REAL
 
Nimeipenda hiyo video. Jamaa kaanza harakati za kisiasa siku nyingi sana, kama unakumbuka albamu yake ya DEIWAKA, kuna wimbo unaitwa 'Barua kwa raisi', kielezea masuala mbalimbali yahusuyo mustakabali wa nchi, na mengine mengi. Hongera sana Mr Sugu.
 
Back
Top Bottom