Video ya binti akivuta sigara

Video ya binti akivuta sigara

Maeneo niliyopo vitoto vya kike vidogo kama huyo ivoivo wanavuta sigara na bangi halaf hakuna anayeongea nao chochote na wanafanya hadharan hawaogopi Kwa mara ya kwanza ilibidi nisimame niwatizame vizur Allah haulla
 
Kwenye sigara pale si kuna onyo la umri kwa hiyo muuzaji nae ana kosa.
 
Katika siku kadhaa kumekuwa na video ikimuonesha binti mdogo mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 12 mpaka 14 akifika duka moja na kuwasha sigara kisha kuivuta. Ni video fupi ambayo imesambaa kwa kasi sana, Facebook, Tiktok na hapa X (Twitter).

Kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni video inayofurahisha na wengine kuona ni kawaida kukutana na hali hii ila kiuhalisia sio picha nzuri hata kidogo ukizingatia umri na rika ya mtu ambaye anaonekana akivuta sigara.
View attachment 3295551

Mimi Naona shida ni malezi ya mzazi mmoja yaani ndo wale watoto wanakuzwa na mama tu yaani single Maza japo nikweli mtoto akishakuwa mtukutu hata Kama atalelewa na wazazi Wote ila ataendelea tu kuwa mtukutu ila Kuna Hali flani kama baba yupo huyo mtoto hata Kama akiwa sugu atalegea maana kipigo Cha baba huwa sio cha hii nchi.

Hivi ushawahi kupigwa Kofi la uso ama banzi la mgongo? Wapo wanaokula kichapo na unafungiwa stoo, Ulijisikiaje? Ulijisikiaje maumivu ya mgongo ulipopigwa Kofi.
au ulishawahi kupigwa konzi la kichwa na baba?
View attachment 3295551

Sasa hebu imagine umepigwa Kofi la mgongo ile unajifikiria, ukapigwa Kofi la shavu hebu niambie mtoto utaendelea kuwa mtukutu?

Jamani acheni masiala watu tumepigwa hawa watoto wa siku hizi wanapapaswa ndo maana tabia mbovumbovu tu kitoto kidogo kama hiki.! Ukikiangalia hata miaka 15 hakijafikisha tayari kishahalibikiwa?

Sasa hebu shangaa kama kinalelewa mama tu inamaana mama yake kimemshinda kukinyoosha Tena kikiwa Bado kidogo Hivi ndo utakubaliana namimi kuwa wazazi wa kike wa kizazi hiki hawawezi kumnyoosha mtoto mtukutu inabidi awepo mshua ambaye atakuwa anajua kunyoosha tabia.

Ningetamani sana Mama yangu Dkt. Gwajima D upate kutusaidia katika hili, sidhani kama limekaa vizuri bi mkubwa.
Hilo ni mojawapo ya athari za kuwatuma watoto (kama wazazi ni wavutaji) kwenda kununua sigara au wazazi kuvuta sigara mbele yao. Kumbuka watoto ni wadadisi sana wanataka kujua huwa inakuwaje? Ndo mana kuna maneno sehemu utakuta "Keep out of the reach of children". Lakini kwenye sigara hilo neno halipo.
 
inawezekana mkeo ashawahi kufanya hayo mambo ...kma ya mbele hukuikuta inawezekana hata ya nyuma wahuni walisha piga
 
Back
Top Bottom