Video: Waziri akipambana na nzige kwa miguu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke ukijumlisha na zile ndege zetu za kutosha zinazonyunyuzia dawa tukichanganya na yale maombi yaliyokimbiza corona basi hawa nzige week tu wanahama nchi hii au kama wataamua kukaa basi wakae kwa adabu kama panzi na senene wanavyokaa kwa staha
 
Huyu jamaa yangu akiwa JKT pale Makutupora operation Nidhamu alikuaga very intelligent, alipokua anafundisha chuo kikuu alikua very intelligent hata wakati Ni katibu mkuu alikua Yuko vizuri.
Hizi teuzi sio bure. Kuna kitu.
Dorothy alikuwaga vizuri tu, hivi sasa amekua haulizwi mjini Tena.
 
ni aibu video za dorothy zime trend twiiter duniani tunachekwa sana ile ya yeye na mmewe na nyimbo ya boyz 2 men wakijifukiza inaonekana msimamzi wa afya Tanzania katoa solution ya covid ,hii ya mangi mkenda nafikiri hadi kesho itakuwa ishakuwa maarufu and this is even worse kuliko hata gwajima maana hadi anacheka kwenye hiyo video as if ni mchezo wa watoto wakati hii ilitakiwa kuwa national ermegency
 
Yaani mangi Bora uendelee na Maisha yako ya sasa kuliko kuteuliwa.
Anzia mzee Mdee kapoteza direction, confo na heshima yote.
Dorothy utafikiri Hana degree ya public health.
Huyu nae. Mzee wa vyangudoa, haya Kuna yule mwenye mpango wa kuwaweka ndani watu wasiojiunganishia umeme, mnamkumbuka mzee wa digrii nne na Ngwalangwala
 
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke ukijumlisha na zile ndege zetu za kutosha zinazonyunyuzia dawa tukichanganya na yale maombi yaliyokimbiza corona basi hawa nzige week tu wanahama nchi hii au kama wataamua kukaa basi wakae kwa adabu kama panzi na senene wanavyokaa kwa staha
View attachment 1712656
Jafo au mama Gwajima atangaze nzige wanafaa sana kufukuzia/nyungu. Kesho tu nzige wote wanaisha.
 
Hakika jamaa wanachapa kazi kwelikweli tena kizalendo kwa style hii ya kukanyagia mateke ukijumlisha na zile ndege zetu za kutosha zinazonyunyuzia dawa tukichanganya na yale maombi yaliyokimbiza corona basi hawa nzige week tu wanahama nchi hii au kama wataamua kukaa basi wakae kwa adabu kama panzi na senene wanavyokaa kwa staha
View attachment 1712656
Huyu so called Prof speciality yake ni nini? area gani of expertise kama anao anyway!
 
Imenikumbusha yule waziri wa kilimo wa Kenya aliyesema ukiwaona nzige wapige picha
 
Back
Top Bottom